mohamed chande

Mohamed Chande Othman (born 1 January 1952) is a Tanzanian lawyer and a former Chief Justice of the Judiciary of Tanzania.
Internationally he is highly respected for his deep understanding of political, legal and other dimensions relating to International Humanitarian Law, Refugee Law, Criminal Law and Evidence, and Peacekeeping. He held various positions as expert advisor and UN prosecutor at criminal tribunals such as the UNDP Cambodia, the East Timor (UNTAET), the International Criminal Tribunal for Rwanda (ICTR), UN Human Rights Council for a) the Israel-Lebanon Armed Conflict and b) the Southern Sudan.
Currently he is head of the UN Independent Panel of Experts that examine new information on Dag Hammarskjölds death.

View More On Wikipedia.org
  1. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya jaji mkuu mstaafu Mohamed chande othman, mwenyekiti wa tume ya rais ya kuchunguza matukio ya October 29 mwaka 2025

    HOTUBA YA MHE. JAJI MKUU MSTAAFU MOHAMED CHANDE OTHMAN, MWENYEKITI WA TUME YA RAIS YA KUCHUNGUZA MATUKIO YA GHASIA NA UVUNJIFU WA AMANI YALIYOTOKEA WAKATI NA BAADA YA UCHAGUZI MKUU WA OKTOBA, 2025, WAKATI WA KUWASILISHA RIPOTI YA TUME DAR ES SALAAM, TAREHE 23 APRILI 2026 ·...
  2. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania CV ya Mwenyekiti wa Tume ya matukio ya 29/ 10, Jaji Mohamed Chande Othman

    Ustadi wa Jaji Chande katika Sheria ya Kibinadamu ya Kimataifa, Sheria ya Wakimbizi, Sheria ya Jinai na Sheria ya Ushahidi unamfanya kuwa kiongozi bora siyo tu duniani bali eneo lote la Afrika Mashariki wa uchunguzi wowote muhimu unaohusisha hasara ya maisha na uwajibikaji wa serikali. Hii...
  3. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Jaji Mohamed Chande Othman

    1. Mohamed Chande Othman ni jaji mwenye uadilifu mkubwa na ujuzi wa hali ya juu katika sheria. 2. Amewahi kuwa Jaji Mkuu wa Tanzania (2010-2017), akiongoza mahakama kwa haki na uwazi. 3. Aliaminiwa na Umoja wa Mataifa kufanya kazi za haki za binadamu, jambo linaloonyesha uaminifu wake. 4...
  4. JaxenDL

    JamiiForums Tanzania 🚨 CC: Mwenyekiti, Mheshimiwa Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Mohamed Chande Othman.

    -3th April ni ijumaa kuu unafamu ilo ? -Whats the plan tupate ripoti yetu ? -Inawezekana ripoti iwasilishwe alhamisi, if yes, tupate report yetu mapema patience is killing me. Isije kua dana dana tena kwa kisingizio cha sikukuu ..
  5. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Chande ataja mambo 6 yanayoenda kuchunguzwa na Tume ya uchunguzi

    Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania Mohammed Chande Othman ambaye ni Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani Yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu(Oktoba 29, 2025) leo Desemba 01, 2025 ameainisha mambo 6 ambayo yatachunguzwa na tume hiyo. 1. Kuchunguza na kubaini chanzo...
  6. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mohamed Chande: Tume uhuru ya uchunguzi ya matukio ya Oktoba 29 ipo kwa mujibu wa sheria

    Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani, Mohamed Chande, amesema kuwa tume anayoiongoza imeundwa kwa mujibu wa sheria. Ameyasema hayo leo katika mkutano wake na wahariri wa vyombo vya habari, Desemba 01, 2025.
Back
Top Bottom