Na huku kwetu Arusha kuna hii barabra iendayo kwenye mbuga za taifa, kuna eneo linaitwa Mguu wa Zuberi tafadhali mwenye kumjua huyu Zuberi naomba atuambie alikua ni nani kwenye nchi hii
Nimeipenda hii thread.imenielimisha! Jf ni jungu kuu.
kwetu kuna shule inaitawa "binti musa sec. school" mitaa ya bombom dar
Kuna jamaa alikuwa anaitwa Juma akapangiwa kazi kyela, basi kule wakafikiri anakosea jina, maana wao lazima waanze na "Mwa", so wakawa wanamuita Mwajuma!Na shetani je?
we mzee emu futa hyo kauli yako bwana!barabara kubwa wazijua ama wazickia?!,kama shekilango road 2kiita kubwa je n1 toka cairo to cape town tutaihitaje?,ama ni zile harufu za kitimoto,na wadada wanaojiuza toka bamaga hadi shekilango ndo vimekufanya uiite ivo?
Anzisha na wewe thread yako ya kujua habari za huyo Zuberi wako,yaani hadi wenzio waulize kitu ndiyo na wewe ukumbuke, acha hakili za wana magamba kurukia kila kitu.Na huku kwetu Arusha kuna hii barabra iendayo kwenye mbuga za taifa, kuna eneo linaitwa Mguu wa Zuberi tafadhali mwenye kumjua huyu Zuberi naomba atuambie alikua ni nani kwenye nchi hii
Kama haujui Historia ya shekilango piga kimya, hapa jamaa halinganishi urefu wa barabara toka nchi moja hadi nyingine anaongelea barabara ya DSM-Tanzania. Hivi unadhani lazima uchangie kila thread? Think 1bil,talk once!we mzee emu futa hyo kauli yako bwana!barabara kubwa wazijua ama wazickia?!,kama shekilango road 2kiita kubwa je n1 toka cairo to cape town tutaihitaje?,ama ni zile harufu za kitimoto,na wadada wanaojiuza toka bamaga hadi shekilango ndo vimekufanya uiite ivo?
Julius Nyerere alikuwa na Upendo haswa ukingalia Hussein Shekilango alikuwa Muislam na alikuwa karibu sana na Rais; hakujali Dini ya Mtu kama watu wanavyosema hapa kwenye forum
Alikuwa Rais wa watu wote.
Ukitaka kujua zaidi nenda seaview mama shekilango yupo huko..