Meya wa Ubungo: Kibao cha Wanyama kitarejeshwa hata kama taratibu hazikufuatwa

Subiri tu mpaka Jpm aamue kuifuta uje kushangilia!Akili zenu mnazijua wenyewe!
Uzi huu unawafagilia,uzi mwingine unawatukana!Ndivyo mlivyo bendera fuata upepo
Meya anataka kujilinganisha na Rais?

Wanyama anataka kujilinganisha na Obama?
 
Ila niseme ukweli Chademakwanza @bonifacejacob, hizi nguvu Meya mstahiki angezitumia Ubungo watu wapate maji hata kwa gharama gani, miundo mbinu hata kwa gharama gani, ulinzi na vituo vya afya, ninge mkubali sana, kumbe anazungumzia kibao! Wabongo kwa kushobokea vitu visizo na tija ni namba moja kabisa!
 
ki msingi mtaa ni jina, sio bango.
Hata mimi nisipotembea na bango linalonitambulisha kua mimi ni Shark but still mtaani wananijua kwa jina hilo
Mkuu nimeona Clouds wanaendelea kuuita huo mtaa Wanyama kama kawaida. Hiyo tuu inatosha, wao wabaki na bango wananchi wanabaki na jina la Wanyama. Mitaa mingapi haina vibao vya majina?
 
Tatizo la Meya hajui kama yeye si mtekelezaji wa mambo ndani ya Serikali.

Ndiyo maana anaweza kulazwa ndani saa 48 kwa amri ya Mtendaji wa Serikali wakati yeye hawezi kufanya hivyo.
Kulazwa ndani saa 48 wewe umeona dili?Mandela amelazwa jela zaidi ya miaka 20,
 
Mkuu nimeona Clouds wanaendelea kuuita huo mtaa Wanyama kama kawaida. Hiyo tuu inatosha, wao wabaki na bango wananchi wanabaki na jina la Wanyama. Mitaa mingapi haina vibao vya majina?
Ndio nami nashangaa,
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Hata kama mtaa unataka hilo jina hakuna aliyewakataza ila wafuate utaratibu tu...mbona rahisi tu.

Sasa amekuja super star leo kesho mnaandika kibao keshokutwa mnakichomeka.Hatuendi hivyo.
Walioweka wengine,waliochomoa wengine,na wamekichomoa kwa sababu zao binafs,hata kama kibao hakipo eneo litaendelea kuitwa Wanyama Street,maana kuna mitaa kibao haina vibao ikiwemo KWA MTOGOLE,KWA BONGE,KWA BI NYAU,POPOBAWA na ni maarufu sana kuliko baadhi ya mikoa hapa Tanzania
 
Badala ya kugombania maendeleo ya huduma za jamii mnaupuzii wa majina ya mitaa
Nchi hii
 
huyu meya akili yake kitumbua ameacha kudeal na mambo ya msingi amekazana kumpa mkenya jina la mtaa
 
Mnatumia nguvu kubishana kuhusu majina ya mitaa huku ahadi ya viwanda mumeiweka pembeni. Akili matope hizo!
Hukumuona Rais akizindua ujenzi wa viwanda hapo juzi tu?Unahamisha goli?Tutalifunga tu.
 
Walioweka wengine,waliochomoa wengine,na wamekichomoa kwa sababu zao binafs,hata kama kibao hakipo eneo litaendelea kuitwa Wanyama Street,maana kuna mitaa kibao haina vibao ikiwemo KWA MTOGOLE,KWA BONGE,KWA BI NYAU,POPOBAWA na ni maarufu sana kuliko baadhi ya mikoa hapa Tanzania
Umaarufu wa hiyo mitaa ni kwa wavuta ngada tu...ndio maana haina vibao.

Victor Wanyama ndio alitunukiwa huu mtaa na wahuni tu....Mmemdhalilisha sana.
 
Badala ya kugombania maendeleo ya huduma za jamii mnaupuzii wa majina ya mitaa
Nchi hii
Umenena ukweli...Ubungo haina hospitali yoyote ya maana...kazi kwenda kutia msongamano Mwananyamala na Muhimbili Halafu Meya anasongesha tumbo mbele kupigania jina la mtaa...
 
Umaarufu wa hiyo mitaa ni kwa wavuta ngada tu...ndio maana haina vibao.
Ambapo hatujaskia wakipelekwa POLISI WALA KUHOJIWA,ila KINONDONI KUNA VIBAO VYA MITAA NA WATU WALIPRLEKWA SENTRO
Victor Wanyama ndio alitunukiwa huu mtaa na wahuni tu....Mmemdhalilisha sana.
Taja mamlaka ya kutunuku MITAA,
Umaarufu wa hiyo mitaa ni kwa wavuta ngada tu...ndio maana haina vibao.

Victor Wanyama ndio alitunukiwa huu mtaa na wahuni tu....Mmemdhalilisha sana.
Jina lako linasadifu ukiandikacho jingalao
Umenena ukweli...Ubungo haina hospitali yoyote ya maana...kazi kwenda kutia msongamano Mwananyamala na Muhimbili Halafu Meya anasongesha tumbo mbele kupigania jina la mtaa...
Sasa mwenye jukumu la kujenga hospitali ni Meya au serikali?Mwananyamala imejengwa na meya au serikali?Aliyetenganisha wilaya ndo anawajibika kujenga hospitali ndio maana hata ofisi za manispaa ya Ubungo mpangaji ni serikali si meya,jamani mambo madogo kama haya yanawashinda?
Serikali hadi sasa haitak kupeleka pesa hospitali ya Muhimbili Campus ya Mloganzila,kama itapeleka basi watu wa Ubungo watatibiwa huko,hata hiyo hospitali ya mwananyamala unayoisifia inasaidiwa na wafadhili kibao
 
Back
Top Bottom