Meya wa Ubungo: Kibao cha Wanyama kitarejeshwa hata kama taratibu hazikufuatwa

cocochanel

JF-Expert Member
Oct 6, 2007
25,201
2,000
Ha ha haaaa meya gangwe

Arudishe tu pounds alizopewa na mgeni wetu, ili roho yake itulie.

Inaelekea kuna mengine amemuomba anaogopa mchezaji asiishie bila yeye kujaza tumbo.

Akileta ugangwe niiteni niangalie movie mimi.
 

Mkumbwa Jr

JF-Expert Member
Mar 23, 2016
1,384
2,000
Kama vipi mkoa wa Dare salaam uitwe ZUZU maana mnazuzuka hata kwa jina la mtaa,mtapelekana central police kama vile kuna mantiki

Ningekua na mamlaka viongozi wanaoendekeza visa,vijembe,visasi na kushinda kwenye mitandao ningewanunulia smart phones na nikawastaafisha siasa ili wakachati
Sitaki utani kwenye kazi
 

hazole1

JF-Expert Member
Jan 3, 2015
4,314
2,000
Ccm wanawivu wa kike
meya wa chadema aliweka bango walienda kung'oa siku hiyo hiyo. utadhani lile bango lilikuwa linawawasha.
 
  • Thanks
Reactions: SDG

tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
39,510
2,000
Naona katika hili Clouds wamejitokeza kumpa support.

Tuone mwisho wake!

Kwa hili jambo la kipuuzi meya atajua nguvu ya serekali ya viwanda. Ila kwenye bei ya sukari serekali imeingiza mkia pabaya.
 

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
33,249
2,000
Nyie watu wajinga kweli!
Hivi kibaya alichoongea meya ni kitu gani?
Tatizo uvccm mnaongozwa na mihemko unaishia kudanganya ambao hawasikiliza taarifa hiyo ya habari!

[HASHTAG]#KilekibaotumtaaJina[/HASHTAG]
Kwenye taarifa amesema atarudisha hiko kibao hata kama taratibu hazikufuatwa...!!huyu jamaa hastahili kuwa meya.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom