Meya wa Ubungo: Kibao cha Wanyama kitarejeshwa hata kama taratibu hazikufuatwa

Mbao haijawahi kutoboa Msumali!

Asijihadae, Huyo Mayor Ana ujeuri na ujasiri wa kumzidi Lema? Lakin sasa Lema kawa Raia Mwema!

Hata Manji Mzee wa Umbwa nae kaomba Pooo!

JPM sio Mkwere
Unataka kusema ikulu ya Tanzania ndio imeondoa bango la Wanyama ?
 
Mbao haijawahi kutoboa Msumali!

Asijihadae, Huyo Mayor Ana ujeuri na ujasiri wa kumzidi Lema? Lakin sasa Lema kawa Raia Mwema!

Hata Manji Mzee wa Umbwa nae kaomba Pooo!

JPM sio Mkwere
Huyo meya, wewe na Magufuli wote mna tatizo moja.

Wote hamuheshimu utawala wa sheria.

Na bila hilo nchi hii kuendelea ni ndoto.
 
haitashangaza sana ikifika siku ya kuulizwa miradi ya maendeleo aliyowafanyia wana ubungo atakutajia na huu ujinga anaouendeleza.
 
Alichokisema ni kuwa bango litarudishwa maana taratibu zote zilifuatwa ,pia kasema mazwazwa wenu wanachanganya sheria ya kutoa jina kwa mitaa na barabara ziko tofauti yeye ndo mwenye idhini ya mwisho ya kutoa majina ya mitaa na akasema kulikuwa na jina la mtaa wa Samata ila hakuonekana siku hiyo na akasema hata viongoz pamoja na wasanii atawapa mitaa kibao tu wavute subira na kamalizia kusema kuwa wametoa kibao lkn mtaa bado una jina hilo hilo....
 
Huyo meya, wewe na Magufuli wote mna tatizo moja.

Wote hamuheshimu utawala wa sheria.

Na bila hilo nchi hii kuendelea ni ndoto.
Nakubaliana na wewe, ila nafikiri ingekuwa vizuri kama tungepata taarifa nzima ya nini meya alizungumza kuliko kuegemea kwenye kisentensi cha Jingalao!
 
Nakubaliana na wewe, ila nafikiri ingekuwa vizuri kama tungepata taarifa nzima ya nini meya alizungumza kuliko kuegemea kwenye kisentensi cha Jingalao!
sentensi yangu imetokea kwenye taarifa ya Clouds tv...mimi mwenyewe nimeshangaa!
 
haitashangaza sana ikifika siku ya kuulizwa miradi ya maendeleo aliyowafanyia wana ubungo atakutajia na huu ujinga anaouendeleza.
Anachokiendeleza ni bonge la mradi ambao hauleti faida kwa mtaa huo pekee, bali kwa taifa zima. Ni bahati mbaya tu kulijua hili ni mpaka uwe na kashule kidogo na sio uwe miongoni mwa kundi la wajinga!
 
Mbao haijawahi kutoboa Msumali!

Asijihadae, Huyo Mayor Ana ujeuri na ujasiri wa kumzidi Lema? Lakin sasa Lema kawa Raia Mwema!

Hata Manji Mzee wa Umbwa nae kaomba Pooo!

JPM sio Mkwere
Wanyama si Amri za magufuli bali ni Amri za Daud Bashite huyo hawamuogopi kabsa , lema na akina Manji wao ligi zao zilikuwa kubwa sana.
 
kweli , kuna watu ukiwasifia tu hata humu unaweza kupewa mtaa, mfano unaweza kumsifia hata mvuta sigara kwa kumwambia "nakuona papa mtu ya tumbaku, mtu ya makinkia" hakiyanani utapewa hata kigamboni
 
Anachokiendeleza ni bonge la mradi ambao hauleti faida kwa mtaa huo pekee, bali kwa taifa zima. Ni bahati mbaya tu kulijua hili ni mpaka uwe na kashule kidogo na sio uwe miongoni mwa kundi la wajinga!
bila shaka ulichokiandika hapa kinashahabiana na mawazo ya meya ; kwa mtazamo huo tupo sahihi kuendelea kuikataa ukawa na kila atokanaye nayo.
ni aibu kuendelea kulijadili hili.
 
Akihojiwa na Clouds Habari amesikika akisema kuwa atahakikisha kibao cha mtaa wa V.Wanyama kitarejeshwa hata kama taratibu hazikufuatwa.
ki msingi mtaa ni jina, sio bango.
Hata mimi nisipotembea na bango linalonitambulisha kua mimi ni Shark but still mtaani wananijua kwa jina hilo
 
bila shaka ulichokiandika hapa kinashahabiana na mawazo ya meya ; kwa mtazamo huo tupo sahihi kuendelea kuikataa ukawa na kila atokanaye nayo.
ni aibu kuendelea kulijadili hili.
Hoja yako ni nini hapa? Hebu tueleze kuna tatizo gani kwa meya (wananchi) kumpa heshima Wanyama jina lake kutumika kwenye huo mtaa. Tunataka tuone kama kweli una hoja na sio mayowe tu as usual kwa kuwa Bashite ameagiza kung'olewa kwa bango!
 
Naombeni msaada wa Kisheria! Hivi siku hizi Meya Ana mamlaka ya Utendaji?

Kwa akili zangu ndogo Meya ni kama Spika wa Bunge kwy ngazi ya Local government ... kazi zake zinaishia kwy vikao ... yaani ni mwongoza vikao vya madiwani...

Naomba mwy kuelewa tofauti na hapa anifafanulie...
 
Ubungo walimchagua ili abandike majina ya Wakenya kwenye mitaa yao? Akili kubwa?
Kikwete mlimchagua abandike majina ya wakenya mitaa yetu?
Mwai Kibaki Rd,Barack Obama Avenue.
Kabla ya hapo kulikuwa na Kenyatta Avenue.
Meya amefafanua vizur kabisa kuwa yeye hakutoa jina hilo,isipokuwa mtaa husika
 
Akihojiwa na Clouds Habari amesikika akisema kuwa atahakikisha kibao cha mtaa wa V.Wanyama kitarejeshwa hata kama taratibu hazikufuatwa.
Tatizo la Meya hajui kama yeye si mtekelezaji wa mambo ndani ya Serikali.

Ndiyo maana anaweza kulazwa ndani saa 48 kwa amri ya Mtendaji wa Serikali wakati yeye hawezi kufanya hivyo.
 
Kikwete mlimchagua abandike majina ya wakenya mitaa yetu?
Mwai Kibaki Rd,Barack Obama Avenue.
Kabla ya hapo kulikuwa na Kenyatta Avenue.
Meya amefafanua vizur kabisa kuwa yeye hakutoa jina hilo,isipokuwa mtaa husika
Hata kama mtaa unataka hilo jina hakuna aliyewakataza ila wafuate utaratibu tu...mbona rahisi tu.

Sasa amekuja super star leo kesho mnaandika kibao keshokutwa mnakichomeka.Hatuendi hivyo.
 
Naona katika hili Clouds wamejitokeza kumpa support.

Tuone mwisho wake!
Sio kwamba Clouds wamejitokeza bali hii ngoma ni 75% ya Clouds!!!

Victor Wanyama hakwenda Kinesi kwa sababu ya Manispaa ya Ubungo wala kwa sababu ya Meya Jacobs!! Victor Wanyama alienda Kinesi kwa sababu ya Clouds na sana sana kwa ajili ya Shaffi Dauda!! Kwenda Kinesi ilitokea just by chance kwa sababu, siku husika mechi yenye mvuto ilikuwa inafanyika Kinesi!! Mechi yoyote ya Kauzu ni bonge la mechi hasa inapokutanisha na watu kama Faru Jeuri! Which means, kama ile mechi ingepigwa Tandika, Wanyama angeenda Tandika na wala sio Kinesi!!!

So, to sum up, Clouds wanacheza ngoma yao wenyewe na ndio maana hata ukisikiliza Clouds FM, wao ndio wanaongoza kupigia upatu! In short, watu wanachezeshwa ngoma ya Clouds bila wao kujitambua!!!
 
Back
Top Bottom