Meya wa Jiji la Arusha Mjini Kalisti Lazaro akiwa Naibu Meya wamemtembelea Mbunge Lema leo magereza.

Francis12

JF-Expert Member
Sep 30, 2016
7,533
22,276
Mstahiki Meya wa Jiji na Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Arusha Mhe.Kalist Lazaro,leo amemtembelea Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Mhe.Godbless Lema aliyeko Magereza Kisongo.
Mstahiki Meya aliongozana na Naibu Meya wa Jiji la Arusha Mhe.Viola Likindikoki pamoja na Viongozi wa Chadema wilaya ya Arusha Mjini.
Wote kwa pamoja walifanikiwa kuzungumza Mambo kadha wa kadha na Mbunge huyo wa Arusha Mjini,"Zaidi na zaidi anawasalimu sana wapiga kura wake amewaambia yupo imara tuendelee kumuombea" Alieleza hayo Mstahiki Meya wa Jiji la Arusha,na katika kuhitimisha ujumbe wake Mhe. Lema amewataka wananchi kusoma maneno ya Mungu kupitia biblia Takatifu katika vitabu vya Yeremia 20:7,Daniel 5:19-20 na 25 pia Isaya 51:7
Screenshot_2016-12-10-18-11-04.png
Screenshot_2016-12-10-18-08-26.png

Imetolewa na
Afisa habari-Kanda ya kaskazini.
Pia mimi mwenyewe nilipata nafasi ya kukuona Lema nimejifunza mengi kupitia kwa Lema amesema hatonyamaza kimya kuendelea kuona demokrasia inakandamizwa.
 
Attachments

  • Screenshot_2016-12-10-18-10-21.png
    Screenshot_2016-12-10-18-10-21.png
    79.3 KB · Views: 47
Mstahiki Meya wa Jiji na Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Arusha Mhe.Kalist Lazaro,leo amemtembelea Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Mhe.Godbless Lema aliyeko Magereza Kisongo.
Mstahiki Meya aliongozana na Naibu Meya wa Jiji la Arusha Mhe.Viola Likindikoki pamoja na Viongozi wa Chadema wilaya ya Arusha Mjini.
Wote kwa pamoja walifanikiwa kuzungumza Mambo kadha wa kadha na Mbunge huyo wa Arusha Mjini,"Zaidi na zaidi anawasalimu sana wapiga kura wake amewaambia yupo imara tuendelee kumuombea" Alieleza hayo Mstahiki Meya wa Jiji la Arusha,na katika kuhitimisha ujumbe wake Mhe. Lema amewataka wananchi kusoma maneno ya Mungu kupitia biblia Takatifu katika vitabu vya Yeremia 20:7,Daniel 5:19-20 na 25 pia Isaya 51:7

Imetolewa na
Afisa habari-Kanda ya kaskazini.
Pia mimi mwenyewe nilipata nafasi ya kukuona Lema nimejifunza mengi kupitia kwa Lema amesema hatonyamaza kimya kuendelea kuona demokrasia inakandamizwa.

Jamani hakuna picha!!!??? tehtehtehtehtehtehteh
 
Sasa........
Vipi kuhusu wapiga kura wake ambao imani yao ni tofauti na maandiko ya kwenye biblia, wao watasoma mistari ipi na kutoka kwenye kitabu gani?
 
ila kwa hili la lema, nimemdaharau sana leprezzdntie na "lerigenio" wa "A-tawoo" hasa kama anahusika katika hili.
 
ISAYA 51: 7

" NISIKILIZENI , NINYI MJUAO HAKI , WATU AMBAO MIOYONI MWENU MNA SHERIA YANGU , MSIOGOPE MATUKANO YA WATU , WALA MSIFADHAIKE KWA SABABU YA DHIHAKA ZAO . "
 
Mstahiki Meya wa Jiji na Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Arusha Mhe.Kalist Lazaro,leo amemtembelea Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Mhe.Godbless Lema aliyeko Magereza Kisongo.
Mstahiki Meya aliongozana na Naibu Meya wa Jiji la Arusha Mhe.Viola Likindikoki pamoja na Viongozi wa Chadema wilaya ya Arusha Mjini.
Wote kwa pamoja walifanikiwa kuzungumza Mambo kadha wa kadha na Mbunge huyo wa Arusha Mjini,"Zaidi na zaidi anawasalimu sana wapiga kura wake amewaambia yupo imara tuendelee kumuombea" Alieleza hayo Mstahiki Meya wa Jiji la Arusha,na katika kuhitimisha ujumbe wake Mhe. Lema amewataka wananchi kusoma maneno ya Mungu kupitia biblia Takatifu katika vitabu vya Yeremia 20:7,Daniel 5:19-20 na 25 pia Isaya 51:7View attachment 444746 View attachment 444748

Imetolewa na
Afisa habari-Kanda ya kaskazini.
Pia mimi mwenyewe nilipata nafasi ya kukuona Lema nimejifunza mengi kupitia kwa Lema amesema hatonyamaza kimya kuendelea kuona demokrasia inakandamizwa.

Hahaha! Piga kazi mhe gambo sasa hivi atown shwari .
 
Back
Top Bottom