Meya Boniphace Jacob amfungukia RC Makonda

Meya Boniphace Jacob amfungukia RC Makonda

Kama kweli Boni ameandika haya basi kumbe kijana bado, bado hajaiva kabisaaaa. Meya wa ubungo hakutakiwa kuingia katika siasa za namna hii. Duh, sijui, sijui labda kama hakuna maelekezo ya namna ya kuishi na kutenda ukiwa na wadhifa ndani ya chama.
Kiongozi lazima mkemeane pia kwa maandishi ama maneno. Mbona Daudi Bashite alimkemea yule mama afisa ardhi alikemewa na makondakita tena hadharani?? Watu wanaona wanayatunza moyoni tuu ndio mlipuko ushatokea tayari
 
Wana CCM Barbarosa, Lizaboni na mapumbuzi wengine kwenye issue za vyeti vya Makonda kimyaaa
 
Mateja mna haha kujificha kwenye hiki kichaka!

mtasema weee, mtakaa kimya

sasa kumbe una gubu lako la miaka na miaka

Mods do needful
Hawa ni kukanyaga tu! Sisi twasonga mbele!
 
Enzi hizi vilaza wengi, huu ndio uandishi wa mstahiki meya!
 
watamfungukia wengi sana safari hii tehe tehe tehe
 
Mateja mna haha kujificha kwenye hiki kichaka!

mtasema weee, mtakaa kimya

sasa kumbe una gubu lako la miaka na miaka

Mods do needful
Pole sana dawa za kulevya isiwe kisingizio toeni vyeti tufike tamati.
 
Kama kweli Boni ameandika haya basi kumbe kijana bado, bado hajaiva kabisaaaa. Meya wa ubungo hakutakiwa kuingia katika siasa za namna hii. Duh, sijui, sijui labda kama hakuna maelekezo ya namna ya kuishi na kutenda ukiwa na wadhifa ndani ya chama.
WHO IS DAUDI BASHITE?
 
Kiongozi lazima mkemeane pia kwa maandishi ama maneno. Mbona Daudi Bashite alimkemea yule mama afisa ardhi alikemewa na makondakita tena hadharani?? Watu wanaona wanayatunza moyoni tuu ndio mlipuko ushatokea tayari

Wewe hujui kitu, bora ungenyamaza
 
Inawezekana upo sahihi kabisa mkuu. Lakini na hili la kufoji vyeti je, hana makosa? Be frank, mkuu

Kama kweli kafoji makosa anayo, kuhusu u RC rais pekee ndiye mwenye maamuzi, kwani inawezekana kabisa ilifanyika vetting na akaambiwa akaamua kumteua hivyo hivyo. Katiba hairuhusu uteuzi wa rais kuhojiwa. Kama kuna mtu ana ushahidi wa hilo la vyeti aende kutoa ripoti polisi au NECTA ili achukuliwe hatua. Utaratibu uko hivyo, huku mitandaoni kuna uongo mwingi sana. Mara oo Nape mtoto wa Mwandosya, mara Membe na kikwete mtu na mdogo wake, mara oo Mbowe kazaa na mbunge wake, mara oo Mbatia ana shiriki ushoga. Uongo na uzandiki upo mwingi sana na watungaji wote wana malengo yao na kama kwa hilila Bashite lengo linaeleweka wazi, watu wamebanwa na wao hawataki kubanwa wanataka biashara yao iendelee!
 
Wazazi bado vijana hata 55 hawajafika

Mkuu;
Yaani tangu kuzaliwa hadi umalize chuo kikuu tena baada ya kurudia madarasa na vyuo hukumpata mdogo wako, leo utegemee aje duniani??
Kwanza kwetu ni fedheha mama mzazi kukumbana na mwali clinik ati sogea dada sote tuna uchungu. Haiwezekani.
 
Back
Top Bottom