Meya Boniphace Jacob amfungukia RC Makonda

Dear
Daudi Albert Bashite.

Naanza na salamu na badala ya salamu ni kujua kama umeamka vizuri hapo kwako Masaki,na shemeji yetu naye natumaini ni mzima wa Afya.

Kwa uchache wa Muda naomba niende moja kwa moja kwenye dhumuni langu la kukuandikia ujumbe huu,hakika ujue sikupi pole sababu mambo Mengi umejitakia katika safari yako ya kisiasa,iliyo jaa vishindo na mbwembwe za kila aina.

Vijana wenzio tulibahatika kufanya kazi na wewe Daudi, kwakweli hatukuwahi kujua siri ya "kiburi" chako na "majivuno" yako uliyatoa wapi? Kwa jinsi ulivyokuwa kijana wa "Mission impossible" katika kila matendo ya vijana wa kaida yanayotarajiwa wewe ulitenda yale ambayo watu wasinge tarajia kuona,

Na hayo ndiyo yakawa maisha yako,hukujali wakubwa wanastahili heshima,hukujali kila binadamu anastahili staha,huku jali viongozi kama Mawaziri wa kuu au majaji wataafu walipaswa kulindwa na kuhifadhiwa.

Leo kabla Dunia haijaona mwanzo mpya au mwisho wa safari yako,kwakuwa Kwa namna yoyote vile tuta ulilokutana nalo Masihani mwako halitakuacha kama awali,utabadilika tuh utake usitake Hata kama mabadiliko yako yawe ya Nafasi au Nafsi yanakukuta kwa aibu na fedheha.

Walio karibu yako Daudi wanadai unawakati Mgumu,tukuombee,sitaki kuwa mnafki kwako,Daudi nikwambie tuh sitokuombea bali kabla ujamaliza kujutia Nafsi yako nikukumbushe tuh machache ili uyaingize kwenye sala ya toba.

1.Akilini kwako unamkumbuka baba wa watu? Mkurugenzi injinia mussa Natty,ulivyo muandama mpaka kusimamishwa kazi ulipokuwa DC KINONDONI? huku jali elimu yake aliyosomeshwa na wazazi wake masikini huko shinyanga,kwa UBASHITE WAKO ukamuumiza yeye na familia yake.

2.Je unawakumbuka wahandisi wa Halmashauri ya manispaa ya Kinondoni?,uliowasemea Mbele ya mheshimiwa Rais,siku ile Pale Biafra,wenzio wakasimamishwa kazi,na kuhamishiwa vijijini,hukujali elimu yao ya kweli si kama yako,waliyo ipata kwa shida wala familia zao masikini zilizo wategemea,Kwa UBASHITE WAKO ukawatokomeza na kuwaharibia majina na kazi zao.

3.Je unawakumbuka Maafisa ardhi? ukitoa amri wakamatwe kule Wazo mivumoni tuh kwa sababu walichelewa kufika eneo la tukio baada yako,hukujali Elimu zao na utaalamu wao wa ardhi waliosotea mashuleni na vyuoni ,kitichako kilikuwa na mamlaka ya kuwalaza wote sita mahabusu kituo cha mabatini KWA UBASHITE WAKO ukajiona wewe ni alpha na omega.

4.Je unamkumbuka yule dada Afisa ardhi uliye Muita "Tahira" kule kwenye mkutano wako mabwepande? Tena mbele za Tv na Radio zikiwa Mubashara,Hukujali mwenzio ana vyeti halali na amepimwa kwenye mitihani na amefaulu, KWA UBASHITE WAKO ukaona hakuna atakacho kufanya wala pakukimbilia.

5.Je unakumbuka ile kauli yako kwamba wewe ufanyalo Dar es salaaam,na kuliamua juu yake ni kwamba ameamua Mungu,Hata watu walipo toa miguno ya kulewa kwako madaraka hukuwahi kujutia kijivika utukufu wa Mungu,wala kujifananisha naye au kujipa unabii juu ya Dar es salaam,KWA UBASHITE WAKO ulidhani na yeye Mungu alipata zero? Au Mungu alinunua vyeti?

6.Je unaikumbuka ile kauli yako ya mara kwa mara uliyopenda kuitoa kwamba "Mimi nimbabe wa vita" ulimaanisha vita vya kufeli na kufanya "manuva" vita ya kutorudia au kukariri Darasa? Na ukazani umevishinda vita kwa kununua jina jipya, KWA UBASHITE WAKO,Ukasahau kuwa wazungu wanasema "There is no short cut in alife" isipokuwa wewe ukazani umeyapitia Denge maisha,wenzio wasome wafaulu,wewe ufeli ujekuwa boss wao.

7.Je unakumbuka Ile kauli yako ya kuwa ofisi ya mkuu wa mkoa Dar es salaam nzima inawafanyakazi 4,wengine wote ni mizigo? ,sasa utawaonea wivu hao mizigo kwakuwa wenzio wanavyeti na walifaulu wapo kihalali serikalini basi huenda utawaacha hapo na wewe mzigo namba moja utaondoka badala yao.KWA UBASHITE WAKO uliona kila mtu aliyesoma vigezo siyo kusoma ila ujanja kama uliotumia wewe.

Na mengine Mengi sababu ya Muda Nikuache na hayo,Niwache na boss wako muamue Mpangiane kazi gani nyingine,na kwa bahati mbaya mfumo wa nchi yetu,mwenye division zero,hastahili kuwa hata Dereva serikalini.

Fedheha na aibu imepanda gari lako la kifahari,imeingia ndani ya jumba lako hapo masaki,walinzi wote polisi na wanajeshi wameshindwa kuizuia,ipo mpaka sebuleni na sasa ujue Dar es salaam haitokubali itawaliwe na kuongozwa na KILAZA.......KUSOMA RAHA SANA

Na
BONIFACE JACOB
Senior councilor ubungo
Mstahiki meya
Manispaa ya ubungo
Jamani we need a sensible platform. Hii platform imekuwa one sided all the time. You dare to talk openly- yaani sielewi kabisa!
 
Sikutegemea kwa kasi ya Magu hadi leo huyo bashite aendelee kuongoza mkoa wetu. Ningeomba Magu awe na aibu jamani, kutuwekea kilaza kwenye mkoa ambao UDSM ipo ndani yake ni aibu aibu aibu.

Bashite rudi shuleni.
 
Makonda hatoki ni mchapa kazi hao wenye vyeti halali wameifanyia nini nchi hii Zaidi ya wizi tu
 
Bashite anajiona mungu mtu wa dar es salaam, wakati sisi wananchi tunamuona kama Kijana wa Vyeti feki ambavyo hataki kukanusha au kuthibitisha
Kukaa kimya maana yake ni NDIYO yaani unekubali/ umekubaliana na yasemwayo!¡! Nyamba......
 
Kama kweli Boni ameandika haya basi kumbe kijana bado, bado hajaiva kabisaaaa. Meya wa ubungo hakutakiwa kuingia katika siasa za namna hii. Duh, sijui, sijui labda kama hakuna maelekezo ya namna ya kuishi na kutenda ukiwa na wadhifa ndani ya chama.
Aandike atakavyo, goma lipo uwanjani, Daudi Bashite from Kolomije.
 
Muda mwingine mnajivua nguo na kuonesha ukilaaaza wenu kuliko hata huo wa Bashite. Uhalali wa kufanya kazi katika ofisi ya umma unamuhusu nini mteule wa Rais? Duh, jamani kweli uelewa mzuri. Pamoja na Pasco kuwapa elimu bado tuu? Kama hata utumishi wa umma haufahamu mambo mengine utayafahamu kweli wewe?
kwamba pasco ndo reference yako,kwamba mtumishi wa umma anaeteuliwa na rais anatumia standard order tofauti na watumishi wengine? Kigezo cha kwanza Tanzania cha mtu kuwa mtumishi wa umma ni elimu ya kidato cha NNE,kama makonda hana,basi hana budi kumsaidia kazi rais wetu kwa kujiuzuru mwrnyewe
 
Kuhusu teuzi za Rais Pasco ameeleza utaratibu ulivyo na matakwa ya sheria. Ki utaratibu Bashikte aka Makonda hafungwi na sheria yeyote. Kama kuna mtu anayeweza kuhojiwa ni rais na uteuzi wa rais hauzingatii vyeti, unazingatia uraia na kujua kusoma na kuandika. Makonda kama ni kweli anaweza kukosa uhalali wa kisiasa lakini si uhalali kisheria. Kama vile kuna watu wengine hata shule walizomalizia kidato cha nne hazijulikani, hawana vyeti lakini wana 'hadhi' ya uwaziri mkuu. Kwa vile mchakato wa wao kufikia huko kisheria uko sawa, wanapeta, japo kisiasa wanaweza wasiwe halali lakini wenye mamlaka ya kuwawajibisha wameridhika basi hata kwa Bashite kama mamlaka yake ya uteuzi itakuwa imeridhika hakuna neno. Tusimuonee Bashite kama tunaogopa kuivaa mamlaka yake ya uteuzi
Tatizo la kisheria ni kwamba kasoma masomo ya juu bila kuwa na sifa. Ni hilo tu. Matokeo yake ya kidato cha nne Kama Bashite hayampi fursa ya kusomea yale aliyosomea. Kwa hiyo vyeti vinavyofuatia hata kama ni vyake ni batiri.
 
Watu wasome wapate degree za uhalali, ajira zao zizuiliwe na rais, BASHITE apate zero, ajira yake itakate usoni pa rais
 
6748c19e419d199ef212ae0082762706.jpg
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Dear
Daudi Albert Bashite.

Naanza na salamu na badala ya salamu ni kujua kama umeamka vizuri hapo kwako Masaki,na shemeji yetu naye natumaini ni mzima wa Afya.

Kwa uchache wa Muda naomba niende moja kwa moja kwenye dhumuni langu la kukuandikia ujumbe huu,hakika ujue sikupi pole sababu mambo Mengi umejitakia katika safari yako ya kisiasa,iliyo jaa vishindo na mbwembwe za kila aina.

Vijana wenzio tulibahatika kufanya kazi na wewe Daudi, kwakweli hatukuwahi kujua siri ya "kiburi" chako na "majivuno" yako uliyatoa wapi? Kwa jinsi ulivyokuwa kijana wa "Mission impossible" katika kila matendo ya vijana wa kaida yanayotarajiwa wewe ulitenda yale ambayo watu wasinge tarajia kuona,

Na hayo ndiyo yakawa maisha yako,hukujali wakubwa wanastahili heshima,hukujali kila binadamu anastahili staha,huku jali viongozi kama Mawaziri wa kuu au majaji wataafu walipaswa kulindwa na kuhifadhiwa.

Leo kabla Dunia haijaona mwanzo mpya au mwisho wa safari yako,kwakuwa Kwa namna yoyote vile tuta ulilokutana nalo Masihani mwako halitakuacha kama awali,utabadilika tuh utake usitake Hata kama mabadiliko yako yawe ya Nafasi au Nafsi yanakukuta kwa aibu na fedheha.

Walio karibu yako Daudi wanadai unawakati Mgumu,tukuombee,sitaki kuwa mnafki kwako,Daudi nikwambie tuh sitokuombea bali kabla ujamaliza kujutia Nafsi yako nikukumbushe tuh machache ili uyaingize kwenye sala ya toba.

1.Akilini kwako unamkumbuka baba wa watu? Mkurugenzi injinia mussa Natty,ulivyo muandama mpaka kusimamishwa kazi ulipokuwa DC KINONDONI? huku jali elimu yake aliyosomeshwa na wazazi wake masikini huko shinyanga,kwa UBASHITE WAKO ukamuumiza yeye na familia yake.

2.Je unawakumbuka wahandisi wa Halmashauri ya manispaa ya Kinondoni?,uliowasemea Mbele ya mheshimiwa Rais,siku ile Pale Biafra,wenzio wakasimamishwa kazi,na kuhamishiwa vijijini,hukujali elimu yao ya kweli si kama yako,waliyo ipata kwa shida wala familia zao masikini zilizo wategemea,Kwa UBASHITE WAKO ukawatokomeza na kuwaharibia majina na kazi zao.

3.Je unawakumbuka Maafisa ardhi? ukitoa amri wakamatwe kule Wazo mivumoni tuh kwa sababu walichelewa kufika eneo la tukio baada yako,hukujali Elimu zao na utaalamu wao wa ardhi waliosotea mashuleni na vyuoni ,kitichako kilikuwa na mamlaka ya kuwalaza wote sita mahabusu kituo cha mabatini KWA UBASHITE WAKO ukajiona wewe ni alpha na omega.

4.Je unamkumbuka yule dada Afisa ardhi uliye Muita "Tahira" kule kwenye mkutano wako mabwepande? Tena mbele za Tv na Radio zikiwa Mubashara,Hukujali mwenzio ana vyeti halali na amepimwa kwenye mitihani na amefaulu, KWA UBASHITE WAKO ukaona hakuna atakacho kufanya wala pakukimbilia.

5.Je unakumbuka ile kauli yako kwamba wewe ufanyalo Dar es salaaam,na kuliamua juu yake ni kwamba ameamua Mungu,Hata watu walipo toa miguno ya kulewa kwako madaraka hukuwahi kujutia kijivika utukufu wa Mungu,wala kujifananisha naye au kujipa unabii juu ya Dar es salaam,KWA UBASHITE WAKO ulidhani na yeye Mungu alipata zero? Au Mungu alinunua vyeti?

6.Je unaikumbuka ile kauli yako ya mara kwa mara uliyopenda kuitoa kwamba "Mimi nimbabe wa vita" ulimaanisha vita vya kufeli na kufanya "manuva" vita ya kutorudia au kukariri Darasa? Na ukazani umevishinda vita kwa kununua jina jipya, KWA UBASHITE WAKO,Ukasahau kuwa wazungu wanasema "There is no short cut in alife" isipokuwa wewe ukazani umeyapitia Denge maisha,wenzio wasome wafaulu,wewe ufeli ujekuwa boss wao.

7.Je unakumbuka Ile kauli yako ya kuwa ofisi ya mkuu wa mkoa Dar es salaam nzima inawafanyakazi 4,wengine wote ni mizigo? ,sasa utawaonea wivu hao mizigo kwakuwa wenzio wanavyeti na walifaulu wapo kihalali serikalini basi huenda utawaacha hapo na wewe mzigo namba moja utaondoka badala yao.KWA UBASHITE WAKO uliona kila mtu aliyesoma vigezo siyo kusoma ila ujanja kama uliotumia wewe.

Na mengine Mengi sababu ya Muda Nikuache na hayo,Niwache na boss wako muamue Mpangiane kazi gani nyingine,na kwa bahati mbaya mfumo wa nchi yetu,mwenye division zero,hastahili kuwa hata Dereva serikalini.

Fedheha na aibu imepanda gari lako la kifahari,imeingia ndani ya jumba lako hapo masaki,walinzi wote polisi na wanajeshi wameshindwa kuizuia,ipo mpaka sebuleni na sasa ujue Dar es salaam haitokubali itawaliwe na kuongozwa na KILAZA.......KUSOMA RAHA SANA

Na
BONIFACE JACOB
Senior councilor ubungo
Mstahiki meya
Manispaa ya ubungo
Na mimi namfungukia kafanya jambo gani muhimu katika jiji la dar?
 
bora mimi mwenye vyeti vyangu hata kama ni vya division four chafu. mnapoteza muda kumjadili mtoto. baba alinunua phd mtoto kanunua cheti cha oleval , hamna kitu hapo kitakacho tokea.
 
Kwa mashambulizi haya ya wazi kwa mheshimiwa Daudi Bashite naanza kuona hofu kuwa hii aibu anayoipata na kujikuta akitengwa na hata wale aliokuwa akiwaamini anaweza kufanya maamuzi kama yale aliyofanya chief Mkwawa alipoona karibu wajerumani watamshika.
Ni vema kuhakikisha kila alipo hakuna kamba.

Yeye siyo Mhehe, kama anaupendeleo na viongozi wa taifa then akafichwe ubalozini america kusini au kule Siberia! kwani kaiabisha serikali kuwa haina wataalam wa vetting!
 
MAGUFULI TUMBUA HUYU MTU.

NI AFADHALI KUBEBA GUNIA LA MISUMARI KULIKO KUMBEBA DAUDI ALBERT BASHITE.

Kama alijua hana hadhi ya kukalia hicho kiti angetulia tu, si kuwachonganisha wenzie.

Aliniuzi zaidi alipotaka kumchonganisha MZEE SIRRO KWA Waziri Mkuu. Nikajisema huyu safari yake fupi.

IQ ndogo mno! Ulibidi aendeshe maisha ya kobe knowing that hata cheti, ila kwa sababu ya reasoning capacity ni ndogo ndo yamemfikisha hapa alipo, ni far better aingie mitini abaki na alichonacho na ka sababu umri ni mdogo akaanze tena form one mpaka for four kwa mtindo wa QT!!!!!!
 
  • Thanks
Reactions: rr4
Back
Top Bottom