Unga kama ungaUkienda Mexico, mzee baba, acha kabisa! Yaani kule hakunaga cha biashara ya reja reja wala nini, kule ndio chimbuko, kiwanda kikuu na jikoni kwenyewe ambako kila aina ya mzigo haramu unapikwa na kusambazwa Marekani na dunia nzima.
Hii biashara inalipa sana kule Mexico, mzee baba Yaani huko mzunguko wa hela sio wa kitoto, tunazungumzia mabilioni ya dola yanayotembea kila uchao.
Mexico Mexico Mexico Wanachimba mamia ya barabara za siri chini ya ardhi kuelekea Marekani. Handaki linaweza kuanzia chumbani kwa mtu kule Mexico na linaenda kuishia ndani ya stoo ya bidhaa upande wa Marekani .
ndani kukiwa na umeme, viyoyozi, na reli kabisa ya kusukuma maboksi ya unga.
Hatupo kwenye zama za mtu kukudanganya jambo,hiyo simu yako ukijua kuitumia itakufanya ubadili huo mtazamo wako,Uongoooo!!
Mh🤔🤔🤔Ukienda Mexico, mzee baba, acha kabisa! Yaani kule hakunaga cha biashara ya reja reja wala nini, kule ndio chimbuko, kiwanda kikuu na jikoni kwenyewe ambako kila aina ya mzigo haramu unapikwa na kusambazwa Marekani na dunia nzima.
Hii biashara inalipa sana kule Mexico, mzee baba Yaani huko mzunguko wa hela sio wa kitoto, tunazungumzia mabilioni ya dola yanayotembea kila uchao.
Mexico Mexico Mexico Wanachimba mamia ya barabara za siri chini ya ardhi kuelekea Marekani. Handaki linaweza kuanzia chumbani kwa mtu kule Mexico na linaenda kuishia ndani ya stoo ya bidhaa upande wa Marekani .
ndani kukiwa na umeme, viyoyozi, na reli kabisa ya kusukuma maboksi ya unga.
Ukweli ni upi?Uongoooo!!
Fuatilia story ya Joaquin Guzman, el chapoUongoooo!!
Wacha weee ...... Ficha basi ujinga wako mara mojamoja ndugu..sio Kila kitu Cha kubisha ... Yaani na ma documentary yooote na kukamatwa kwa making pin na wanatoroka na mahandaki hayohayo na una bisha....Uongoooo!!