Methali za ajabu ajabu

Methali za ajabu ajabu

gstar

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2011
Posts
826
Reaction score
1,525
1. Mficha uchi hazai
2. Nguo ya kuazima haisitiri ma.tak.o
3 Kuchamba kwingi ...
4 Nyani haoni ku...le
5 Masikiti akipata mat..ko hulia mbwata
6 ....
Hapo no tafsida kama unazo nyingine tiririka hapa
 
Jike lako mwenyewe la nini kulichungulia bafuni
 
Ukila vya watu na vyako vitaliwa
 
Ha ha haaaaaaaa. Lione vile.

Nlipokua nafundisha, kuna siku nliwaambia wanafunzi waandike methali tano tano zao wenyewe, wengine ndo waliandika ivo. Nlichekaje, hadi leo sisahau

zingekuwepo ningejiregister ili nisikie ufafanuzi wake toka kwa experienced teacher
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom