Methali na misemo iliyotamba kuanzia mwaka 2010 hii hapa

Midavudavu

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
287
59
1. Hili ni jembe la zamani lisiloisha makali
2. Kama shilingi miambili ya kupanda kivuko nyingi piga mbizi
3. kama gamba linakubana livue uvae gwanda
4. Si kila anayewajibishwa ametenda kosa zingine ni ajali za kisiasa
5. Ari mpya, kasi mpya na nguvu mpya
6. Maisha bora kwa kila mtanzania yanawezekana kila moja wetu awajibike
7. Nguvu ya umma ni nguvu ya mungu
8. Siko tayari kuona nawajibishwa kwa uzembe wa mtu mwingine, kama sina mamlaka ya kukutoa nitakufitinisha na aliyekuteua ili akutoe.
9. Sina mamlaka ya kutengua uteuzi wa mtu ambaye sijamteu.
10. Ni bora kulaumiwa kwa kutoa maamuzi mabovu kuliko kulaumiwa kwa kushindwa kutoa maamuzi
11......................................................................................nitaendele kuwajuza zingine nilizohifadhi katika maktaba yangu
 
hawa tunawalea sana si unakumbuka Prof. majimarefu ulikuwa unawachanja Chale hadi Matakoni (Mbunge Lusinde, kwenye kampeni Arumeru)

Ni upepo tu utapita(JK)
 
Safari nyingi za uingereza tuna shaka na wewe kama rizki
 
Back
Top Bottom