Methali mpya

Shida ingekuwa sumu hamna ambaye angepona
 
Methali ni nini? Je, hiyo ni methali?
Muundo wa methali ni upi?
Fani na Maudhui ya methali huwaje?
Ni tofauti gani iliyopo baina ya Methali na Misemo au methali na misimu?
 
Ardhi sio mirathi toka kwa baba na babu zetu, bali ni amana tuwatunzie wana na wajukuu wetu.
 
1. Kama unataka kulewa ili usahau, lipa kabla ya kuaanza kunywa.
2. Usinunue ndizi kwa wali wa matanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…