buji wewe mswahili kweli....nimeipenda hiinyoka hapigi magoti
buji wewe mswahili kweli....nimeipenda hiinyoka hapigi magoti
<br />kusoma ni kuelewa, kukesha ni mbwembwe tu.
Hodi ya chooni haina karibu.
<br />ni kweli ila kuna sauti flani kama ya kukohoa aliye ndani huitoa kuashiria kama yupo ndani anafanya mambo ya lazima kwa binadamu....
uswahilini hiyo mkuu msalani mwapanga foleni watu wakiona unachelewa wanapiga hodi kukukumbusha!nawe wajibu kwa kukohoa kutoa taarifa kama zoezi la kutuma barua linaendelea<br />
<br />
duh.