Nzokanhyilu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2007
- 1,078
- 102
Ngoja tulinganisha statistics za haya vijana msimu huu
RONALDO MESSI
Game Played 47 37
Goal Scored 41 16
Kana ka Nsugu is ant-Man U, what do you expect from him ni kuiponda Man u na wachezaji wake. Don't play with Christian Ronald, statistics za 2007/2008 zinamweka juu kuliko mchezaji mwingine yeyote Ulaya.
Kuhusu timu ya TAIFA MESI ameshine mashindano ya U17 & U20 but tangu ameingia SENIOR TEAM hajafanya lolote
Mkubwa hivi MESSI kupeform wapi? kama ni kupiga chenga sawa
Barca la liga wako nafasi ya 3,Champs wametolewa Semi final na MANU
ManU Mabingwa EPL kwa miaka miwil mfululizo na wako Champs League Final
Messi better than Ronaldo - Cole
Messi and Ronaldo went head-to-head in the Champions League
Chelsea's Joe Cole says Barcelona's Lionel Messi is ahead of Manchester United star Cristiano Ronaldo as the best player in the world.
Cole said Messi's form in Barca's Champions League semi-final defeat by United settled the debate.
"Ronaldo's been fantastic but in the semi-final Messi showed he's the top man," said Cole, who will face Ronaldo in next week's Champions League final.
"He is only 20 as well, imagine how good he will be in the next 10 years."
Messi has been linked with a £80m move to Chelsea, and Cole admitted he would be delighted if the speculation proved to be true.
"If we could sign him, I'd love to play alongside him," he added.
Cole's comments will help to crank up the atmosphere ahead of Wednesday's final between United and Chelsea in Moscow.
Source:bbc.co.uk
Mimi binafsi nakubaliana kabisa na maneno ya Joe Cole hapo juu, Messi anatisha!
Hii ni sawa na Kulinganisha Suzuki na Hammer, "Jesus Christ-ano Ronaldo Schwarzenegger call him COMMANDO!!!" kibokooo na ndio zaidi kama unabisha basi tusubiri Mcheza Bora wa Mwaka huu. Haya ni maoni yangu wazazi haina haja ya kurusha ngumi.
Unajua, ushabiki wa msimu mmoja utawatoa nishai. Msiwe mnaongea bila stats jamani...........
International Appearances and goals (Hapa hatuangalii Messi kafanya nini akiwa under 21/20);
Ronaldo 53 matches 16 goals (1 goal in 3.3 matches)
Messi 18 Matches 10 goals (1 in 1.8 matches)
Ndio maana nasema Ronaldo anaweza UK tu, subiri tuone kama atafurukuta euro 2008 mwezi ujao tu!!
Umeangalia stats za magoli ya timu msimu huu tu, angalia hayo magoli Ronaldo kafunga timu gani mbovu za UK. Halafu angalia record ya Ronaldo na Messi tangu waingie first team tuone nani ana return nzuri zaidi;
Ronaldo 238 matches 91 goals (average return 1 in 2.615 games)
Messi 102 matches 39 goals (average return 1 in 2.615 games)
Hapo return yao sawa. Ila average ya Ronaldo imepanda msimu huu tu kwasababu kacheza na timu mbuzi za UK. Na kumbuka Messi mechi nyingi kaingia substitute. Nakupeni homework mtafute wakati Ronaldo ana mechi 100 au 102 hapo Manu je alikuwa na magoli mangapi?
CL msimu huu (Messi akiwa injured)
R 11 7 (1.57)
M 9 6 (1.5)
I could go on and on, ila kama we kweli unajua mpira, utaelewa kwamba Ronaldo anatamba ligi ya UK tu ambapo madefender wengi ni wachovu wa butua butua.....very average hawana skill (defender usipokuwa skillfull utazuiaje mchezaji skillfull? Tofauti na Europe au world football. We umeshawahi kumwona Ronaldo anamsumbua Glichy? Ashley Cole unaweza kusema 50/50, ila madefender wengine anawasumbua). Nje ya UK Ronaldo is an average player. Yaani mara mia hata Torres yuko proven.
Halafu tafuteni mechi ya Barca vs Getafe muone mambo Messi alifanya.....Ronaldo hawezi hiyo hata siku moja.
Mkitaka assists;
http://www.fcbarcelona.com/web/engl...07-08/estadistiques/jugadors/Messi/fitxa.html
Messi kamfanya hata Thierry Henry aonekane mbovu. Na hapo ndio utajua ukiwa Uingereza sio kwamba uta-guarantee ufanikishe Europe. Hata wakati Thenry yuko Arsenal, Europe alikuwa anachemsha.....na ameonekana average Barcelona, alikuwa average Juventus. Ndo maana nasema Messi can fit any league comfortably.
messi ameweza kufananishwa na gwiji maradona kwa umahiri wake.
je ronaldo kawahi kufananishwa na nani?
NB: usitegemee mtu atakurushia ngumi kwa hizo pumba unazozimwaga

Roya sio kwamba nakuwa biased, hapa kila mtu anatakiwa atoe choice kati ya Messi na Ronaldo na mimi nimefanya chaguo langu. Wote ni wachezaji wazuri lakini tunachosema hapa ni nani zaidi kati yao...
Mkuu KKN nadhani uko biased kwa Messi (sina hakika kama ni kwa sababu Ronaldo anacheza Man U). Kama ulitaka kweli maoni ya watu basi usibiase kiasi hicho.
Anyway, let me put something into this. Binafsi nakiri kwamba simfahamu Messi kama Ronaldo (kwa sababu za wazi - mimi naipenda EPL na Man U)!
Ronaldo is s great player - ana kasi nzuri sana, anamiliki vizuri mpira, ni mtaalam wa mipira iliyokufa na anatumia vema miguu na kichwa. Kwa takwimu ameibeba sana Man U msimu huu.....ni mchezaji hatari, hutafurahi akicheza dhidi ya timu yako!
About Messi nafahamu kwamba ni mchezaji hatari, hutafurahi akicheza dhidi ya timu yako!
Anyway, huku (kwenye michezo) sheria sio kali sana, ushabiki bila takwimu unaruhusiwa! Sishangai japo Tores kakiri kwamba Ronaldo ni bora zaidi yake lakini kuna mtu kasema hapo juu kwamba Tores ni zaidi ya Ronaldo!

Roya nilkuwa natamani kumwaga maoni ynagu lakini am running out of time, ila umemaliza kazi hapo juu mkuu, Messi is too much individual...ni yeye tuuuuu!!, my vote to Ronaldo=Software, he will prove that on wedsnesday!!
QUOTE
Ndio maana nasema Ronaldo anaweza UK tu, subiri tuone kama atafurukuta euro 2008 mwezi ujao tu!!
I could go on and on, ila kama we kweli unajua mpira, utaelewa kwamba Ronaldo anatamba ligi ya UK tu ambapo madefender wengi ni wachovu wa butua butua.....very average hawana skill (defender usipokuwa skillfull utazuiaje mchezaji skillfull? Tofauti na Europe au world football. We umeshawahi kumwona Ronaldo anamsumbua Glichy? Ashley Cole unaweza kusema 50/50, ila madefender wengine anawasumbua). Nje ya UK Ronaldo is an average player. Yaani mara mia hata Torres yuko proven.
Halafu tafuteni mechi ya Barca vs Getafe muone mambo Messi alifanya.....Ronaldo hawezi hiyo hata siku moja.
Messi kamfanya hata Thierry Henry aonekane mbovu. Na hapo ndio utajua ukiwa Uingereza sio kwamba uta-guarantee ufanikishe Europe. Hata wakati Thenry yuko Arsenal, Europe alikuwa anachemsha.....na ameonekana average Barcelona, alikuwa average Juventus. Ndo maana nasema Messi can fit any league comfortably.
QUOTE=
MKUBWA NAONA UNABABAIKA
Unasema RONALDO anashine EPL na sio ULAYA but ndio leading SCORER wa CHAMPS LEAGUE
Unasema ENGLAND kuna mabeki wabovu kuliko SPAIN kwa sasa PREMIER iko juu kuliko la LIGA hebu angalia ,TERRY,CARVARHO,VIDIC,FERDINAND,EVRA,CLICHY,SAGNA,CARAGHER,SKIRTEL
hebu nitajie hao mabeki wakali wanaocheza LA LIGA?
Ronaldo kazifunga timu karibu zote ENGLAND isipokuwa ManCity, Chelsea kwa hiyo timu zote England ni mbovu isipokuwa Chelsea na Man City?
Pia kwenye Champs League kazifunga AC MILAN, AS ROMA,LYON je hizo timu ni vibonde
Then unasema MESSI kafanya HENRY aonekane mbovu,jamaa ana matatizo mengi yaliyomfanya achemshe
1.Family problem with his wife
2.Alikuwa majeruhi na Barca walimlazimisha kucheza mwanzo wa msimu
3.Anapangwa nafasi ambayo si yake
4.Jamaa kwa sasa ndio anawabeba Barca mwishoni mwa msimu kafunga magoli 4 kwenye last 3 games hata game ya MAN ndio alionyesha UHAI
Henry hajachemsha kafunga magoli 18 jumla na assist 10
hajafunga kwa penati wala freekicks
Kwa wachezaji wa BARCA nafikiri anaongoza au kazidiwa na ETOO kidogo
Kuhusu goli lake la dhidi ya GETAFE ni kali but sio kigezo mbona GIGGS kawahi kuwapiga chenga wachezaji karibu 6 wa ARSENAL na akafunga
Then tunawacompare hawa wachezaji sasa hivi na sio misimu iliyopita ndio maana nasema AT THE MOMENT jamaa yuko HOT
Kuhusu comparison na MARADONA wako wachezaji wengi ambao wamelinganishwa na jamaa,ni kawaida ARGENTINA kila kizazi kipya cha soka
Wanatafuta mtu wa kumlinganisha nae but hakuna aliyemfika MARADONA
Jamaa alikuwa na skills kama za MESI but alikuwa na NGUVU hadi wasiompenda wakasema anatumia dawa ki2 ambacho MESI hana .Alibeba World Cup kitu ambacho warithi wake wote hakuna aliyefikia
Wachezaji kama ORTEGA,D ALLESADRO,TEVEZ, MESI wamefananishwa nae na sasa kuna kijana anaitwa SERGIO KUN AGUERO anachezea ATLETICO MADRID ndio anafananishwa na MARADONA
Kembe unakiri humjui?
Mkuu hujanielewa ama umeamua kutonielewa!
Nilisema simfahamu Messi kama Ronaldo! Kwa sentensi nyingine ningesema namfahamu Ronaldo kuliko Messi!