Messi vs Ronaldo: Nani zaidi?

Huwezi kumlinganisha, Mfalme wa Mpira wa Miguu Duniani(Messi10) na Mviziaji wa Mpira duniani (fake ronaldo). Hata wanaompa tuzo ya Mpira wa dhahabu (ballon d'or) bora wawe wanaibadiri kwanza jina na kuuita balloon d'joke badala ya bollon d'or.
37b1e2d0af3faace0177b826f12e3e72.jpg
 
Xavi na iniesta wanaheshimika sana barca kuliko hata huyo dinho

Soon watakuja kukupinga, tena bila ushahidi wowote na ukiwaomba wakuletee wanakujibu "Gaucho namba ingine ile, ana madoido mengi" na ukiwaomba alipo top 10 hawakuletei,, wanajuwa hana kitu basi ni kujifariji tu :D:D:D:D huwa nabaki kucheka aise,,,mkuu yaani imefikia huyo mauno/gaucho anafananishwa eti na Mfalme wa mpira/Messi kuwahi kutokea katika uso wa dunia :D:D yani hizi ni dharau kabisa...ni kama uwalinganishe tembo na sisimizi ni yupi mkubwa...yani TEMBO NI MFALME NA SISIMIZI NI GAUCHO
 
Wakibisha achana nao
Gaucho ni mchezaji wa kawaida sana kwa barca tatizo watu wanaangalia malingi anayopiga
Wakigoma kbs ntawaletea top 10
 
Soon watakuja kukupinga, tena bila ushahidi wowote na ukiwaomba wakuletee wanakujibu "Gaucho namba ingine ile, ana madoido mengi" na ukiwaomba alipo top 10 hawakuletei,, wanajuwa hana kitu basi ni kujifariji tu :D:D:D:D huwa nabaki kucheka aise,,,mkuu yaani imefikia huyo mauno/gaucho anafananishwa eti na Mfalme wa mpira/Messi kuwahi kutokea katika uso wa dunia :D:D yani hizi ni dharau kabisa...ni kama uwalinganishe tembo na sisimizi ni yupi mkubwa...yani TEMBO NI MFALME NA SISIMIZI NI GAUCHO
Mara nyingi wanaosema gaucho bora kuliko mess hawajamuona gaucho zama zake
 
Messi better than Ronaldo - Cole

Chelsea's Joe Cole says Barcelona's Lionel Messi is ahead of Manchester United star Cristiano Ronaldo as the best player in the world.

Source: BBC Sport|Football

Mimi binafsi nakubaliana kabisa na maneno ya Joe Cole hapo juu, Messi anatisha!
Hakuna bora hapo. Bora ni kula na kufanya ibada.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom