Jamani mtoto messi anatisha huo ukweli hata Ronaldo mwenyewe anajuaa hilo.........mtoto ana kipaji....mnooo
This is not about ushabiki wa timu lakini kama kuna mechi ambazo Ronaldo haonekani ni against Arsenal!Gang Chomba,Kana ka Nsungu nyie wote ni washabiki wa ARSENAL na RONALDO amewatesa sana ARSENAL
At this moment RONALDO IS HOT, EVEN MESSI HAS DECLARED THAT RONALDO IS THE BEST AT THE MOMENT
ebwana kana-naka-nsungu ebu nisaidie,huyu jamaa icadon ni mshabiki wa manchester au vipi?halafu yaonekana hajaelewa maelezo yangu
Belo, huo mfano wa Ronaldo ku-shine spain inawezekana, lakini in general Messi ka-perfom kila mechi na timu zote, ila Ronaldo anashine tu UK, akicheza Europe au timu ya Taifa, he is nobody. Na Messi ni rahisi zaidi kuperform ligi yoyote. Infact Messi haogopi buti. Mchezaji yeyote mzuri haogopi buti, kupigwa buti ni ujanja wa positioning yako kama Mchezaji, na Messi ana-imaster vizuri. Yaani mpiga buti unaonekana mjinga. Wakati kumlamba buti Ronaldo ni rahisi sana.
Halafu Messi ana-low centre of gravity, mchezaji yeyote mfupi vigumu kumwangusha......ongezea na skills, Messi yuko mbali. Euro2008 inakuja mwezi ujao, tuone Ronaldo atafanya nini.
Kuhusu timu ya TAIFA MESI ameshine mashindano ya U17 & U20 but tangu ameingia SENIOR TEAM hajafanya lolote
Mkubwa hivi MESSI kupeform wapi? kama ni kupiga chenga sawa
Barca la liga wako nafasi ya 3,Champs wametolewa Semi final na MANU
ManU Mabingwa EPL kwa miaka miwil mfululizo na wako Champs League Final
Mkuu KKN unataka watu wapige kura au unataka hoja?
Mwaga hoja mkulu, na nana baadhi yetu tunatoka nje hapa, hii thread ni baina ya Messi na Ronaldo na sio Barca na Man U.Mkuu KKN unataka watu wapige kura au unataka hoja?
Mwaga hoja mkulu, na nana baadhi yetu tunatoka nje hapa, hii thread ni baina ya Messi na Ronaldo na sio Barca na Man U.
Kwa watu wanaojali entertaining football watamkubali Messi, kama u mtu wa 'bora liende' Ronaldo ndio chaguo lako. Mchezaji gani akiona mabeki wanamkaribia tu anajibwaga chini?
Tukisema tupige kura hapa tutakuwa hatutofautiani na CCM ambao wanataka kura kwenye suala la muafaka.
Ngoja tulinganisha statistics za haya vijana msimu huu
RONALDO MESSI
Game Played 47 37
Goal Scored 41 16
Jinsi anavyocheza MESSI hawezi kucheza PREMIER league na akicheza atavunjwa miguu kila siku but Ronaldo can play and shine in SPAIN
Gang Chomba,Kana ka Nsungu nyie wote ni washabiki wa ARSENAL na RONALDO amewatesa sana ARSENAL
At this moment RONALDO IS HOT, EVEN MESSI HAS DECLARED THAT RONALDO IS THE BEST AT THE MOMENT