Message ya msichana wangu hii hapa naombeni ushauri

Message ya msichana wangu hii hapa naombeni ushauri

uende mbele na urudi nyuma kuna kusahau yaliyopita na umuhimu wa mtu unakuja pale usipokuwa naye ipo siku ataukumbuka umuhimu wa mzigo mkubwa. Kaa chonjo siku ya siku
 
Kwa hiyo wewe una kibamia?

Labda baada ya kuzaa njia imepanuka anataka ze mandingo ya zamani, chunga sana bro. Haiwezekani akueleze from nowhere

Hahaaa kibamia tena?, Hili nalo neno! Ikitanuka atatafuta ile yenyewe sasa!
 
Ukitaka pressure na maumivu ya kichwa pitia JF MMU.

Hivi mmemuelewa mleta mada? mliomuelewa naomba mnitafsirie, maana pressure zimeshanipanada.

Ngoja nirudi jukwaa lisilo na ugonjwa moyo. Ntakuja baadae kuona kama mmenitafsiria.
 
Hapo ni male ego ya mshikaji(EX) kukuzidi size ama ni nini kwa mfano?
Ulikuwa hujui kwamba kuna binadamu wengine wanakuzidi? Focus on what you can control, achana na hivyo vitu ambavyo vipo tu, whether you like it or not. Love her, marry her and live happily.
Huyo dada na yeye hana busara kwani siri kama hiyo ina umuhimu gani kukuambia?

Au ni nini matumizi yake katika uhusiano wenu? Tena at the risk of hurting your feelings.
 
Kama akiombwa kugegedwa unahisi umeombwa wewe!! kama akigegedwa inakuwa umegegedwa wewe ingetusaidia kuelewa na kukuelewa ni nini kinakusumbua, mwanamke mpaka kakuzalia hauoni thamani yako kwake, mwenzako aliishia kupiga push-ups, kaonjeshwa tu lakini wewe umepewa yoteeeee, NDUGU JITAHIDI KUWA NA HESHIMA, USIJE UKADHARAULIKA.
 
Hapo ni male ego ya mshikaji(EX) kukuzidi size ama ni nini kwa mfano?
Ulikuwa hujui kwamba kuna binadamu wengine wanakuzidi? Focus on what you can control, achana na hivyo vitu ambavyo vipo tu, whether you like it or not. Love her, marry her and live happily.
Huyo dada na yeye hana busara kwani siri kama hiyo ina umuhimu gani kukuambia?

Au ni nini matumizi yake katika uhusiano wenu? Tena at the risk of hurting your feelings.

Watu wengi hawajui mambo ambayo hawatakiwi kuyasema kwa wapenzi wao.Yaani wao hutiririka tu bila speed governor hawajui ulimi unaweza jenga na kubomoa mahusiano.
N.B Hautakiwi kuongelea mambo ya EX wako kwa mpenzi wako wa sasa tena hasa yale mazuri ambayo mpenzi wako wa sasa hana au amezidiwa utajitafutia matatizo kama huyu Dada hapa anaweza akaachwa muda wowote.
Kuwa makini na unachokiongea chunga Domo lako.
 
Kwani wewe hukuwahi kuwa na ma ex-girlfriend ambao bado mnawasiliana nao kama friends tu????. Hivi unajua kwamba ukimchunguza sana kuku huwezi kula nyama ya kuku ???
 
​umuache kwanini???kama mna mapenzi ya kweli endeleeni tu
 
Mpenzi wangu leo nimeona nitoe Siri yangu niliachana na mpenzi wangu wa zamani (Boyfriend )ukweli mimi na mpenzi wangu wa zamani tulipendana sana tena sana, alinionyesha upendo kama wewe, ukweli alikuwa na sifa zote kama wewe, isipokuwa katika mahusiano kuna kitu komoja kama sikuridhiana basi hili ndilo muhimu sana, ukweli mimi na yeye hatukuendana.

Kimaumbile mpenzi wangu wa zamani alikuwa na maumbile makubwa kwa hiyo kila tukikutana mimi nilikuwa napata maumivu sana mpaka nilikuwa napiga kelele yaani hata kama kuna watu nje wanasikia. ilinilazimu niende kwa kwa daktari mmoja, kabla sijaenda aliniomba nishike mimba nikakataa hapo ndipo ugomvi ulianzia kwani sikumwambia kama nilikuwa nasikia maumivu, Dakatari alinishauri nijaribu kwa mwanaume mwingine, ndiyo nikaja kwako. Hiyo ndiyo sababu ya kuachana na yeye baba na mpenzi wa zamani.

Dada huyu ni mpenzi wangu wa miaka 3, na tumepata mtoto tulipanga kuoana lkn maneno haya yananichoma sana, nataka kuachana nae, je ni sahihi? naombeni ushauri.

eliminating ujinga wako huna akili
 
Ukitaka pressure na maumivu ya kichwa pitia JF MMU.

Hivi mmemuelewa mleta mada? mliomuelewa naomba mnitafsirie, maana pressure zimeshanipanada.

Ngoja nirudi jukwaa lisilo na ugonjwa moyo. Ntakuja baadae kuona kama mmenitafsiria.

Hilo jukwaa lako la siasa na hoja zako za kuyatetea majizi ndio umeona uko vizuri sana
 
Nendeni mkapime VVU, kapime DNA na mtoto then tafakari la kufanya maana wewe ndio unamjua vizuri uyo dem wako sie wengine wala hatumfahamu maana naona umeshajiingiza ktk stress wewe mwenyewe..na naona hapo kuna vitu ulim'bana kwa kuhoji ndio ikafikia hatua ya kukuambia hivyo
 
Kitu kimoja kizuri kwa mpenzi wako ni kwamba ni muwazi kwako, ndiyo maana amekueleza yote. Kumbuka kwamba hata kama asingekueleza, hali halisi ndiyo hiyo, imetokea na haiwezi kufutika. Kubali ukweli na endelea na mipango yako ya ndoa.
 
sipendi mademu wenye mashimo madogo na wanaopata maumivu wakati wa kusuguliwa....
 
Sijaona tatizo kubwa zaidi ya huyo mpenzi wako kukuambia kitu ambacho hakupaswa kusema, mimi ningeshauri uachane na kufikiria hiyo msg msonge mbele na hata baadhi ya comments humu zinaweza kukuathiri zaidi.
 
Mpenzi wangu leo nimeona nitoe Siri yangu niliachana na mpenzi wangu wa zamani (Boyfriend )ukweli mimi na mpenzi wangu wa zamani tulipendana sana tena sana, alinionyesha upendo kama wewe, ukweli alikuwa na sifa zote kama wewe, isipokuwa katika mahusiano kuna kitu komoja kama sikuridhiana basi hili ndilo muhimu sana, ukweli mimi na yeye hatukuendana.

Kimaumbile mpenzi wangu wa zamani alikuwa na maumbile makubwa kwa hiyo kila tukikutana mimi nilikuwa napata maumivu sana mpaka nilikuwa napiga kelele yaani hata kama kuna watu nje wanasikia. ilinilazimu niende kwa kwa daktari mmoja, kabla sijaenda aliniomba nishike mimba nikakataa hapo ndipo ugomvi ulianzia kwani sikumwambia kama nilikuwa nasikia maumivu, Dakatari alinishauri nijaribu kwa mwanaume mwingine, ndiyo nikaja kwako. Hiyo ndiyo sababu ya kuachana na yeye baba na mpenzi wa zamani.

Dada huyu ni mpenzi wangu wa miaka 3, na tumepata mtoto tulipanga kuoana lkn maneno haya yananichoma sana, nataka kuachana nae, je ni sahihi? naombeni ushauri.
Unamuacha wakati amekusifia jamani hapo sasa wewe unamatatizo.
 
Back
Top Bottom