Message ya msichana wangu hii hapa naombeni ushauri

Message ya msichana wangu hii hapa naombeni ushauri

Ukitaka pressure na maumivu ya kichwa pitia JF MMU.

Hivi mmemuelewa mleta mada? mliomuelewa naomba mnitafsirie, maana pressure zimeshanipanada.

Ngoja nirudi jukwaa lisilo na ugonjwa moyo. Ntakuja baadae kuona kama mmenitafsiria.

Bibi umri wako mkubwa
yaani ndio jioni hiyo wakati mimi nimecheka kutokana na upuuzi wewe pressure imepanda teh teh teh
 
Wanawake wakati mwingine wakiona hatarajii kupata kile alichokitarajia basi ataunda sababu ili atoke na kujaribu kwingine.
 
Wewe ndoa huiwezi! Mwanamke unataka ndoa wakati u-mlegevu hivo kama 'wanaume wa dar'!
 
niliwahi kumkuta akiwasiliana na mtu lsiku za nyuma baada ya kufuatailia nikagundua alikuwa anawasiliana na huyu xx. Nikataka kumwacha akaomba samahani. Yakaisha.
mkuu akikumbuka msuguo wa kuumizwa atarudi na kukusaliti tu, huyo jamaa ni ngumu kumuacha.
 
Wote nawashukuru kwa commnets, of coz hii issue ni ya jamaa yangu wa karibu nikaona niilete kwenu km ya kwangu, ujumbe umefika. kwa kifupi hakuna anayejua km ni mtambo au bamia, pia nasikia mtambo si tatzi hata km bamia ukijua kuitumia vizuri dadako ata-enjoy tu. Nafikiri jamaa yangu anamwandaa vya kutosha kuliko yule wa zamani.
 
..........Huyo dada naye! Tokea lini mtu uanze kuongea habari za ex wako?
 
Madame X umenena vema sana, afanye utafiti wa kina atajua yaliyomo, ukubwa wa ukuni sio tatizo kwa wanawake wengi, so sio sababu tosha iliyofanya amkimbie....na mawasiliano aliyoanzisha ni ya nini?
Ila hata kwenye maelezo ya jamaa inaonekana mwanamke alikuwa anafanya ufananisho coz kamwambia kila kitu anafanana na jamaa lakini tofauti inakuja kwamba mmoja wao ana kibamia na mwingine ana muhogo wa jang'ombe
 
Ila hata kwenye maelezo ya jamaa inaonekana mwanamke alikuwa anafanya ufananisho coz kamwambia kila kitu anafanana na jamaa lakini tofauti inakuja kwamba mmoja wao ana kibamia na mwingine ana muhogo wa jang'ombe

Kuna la zaidi hapo.....muhogo bamia vyote vyakula tuuu.....swala ni mapishi bibie....
 
Sasa kosa nini hapo, kukueleza past yake, kuwa alikudanganya ni bikira au alikuwa kaja na nia ya kujaribu. Mbona mnachagua sana, mtu akiwa mkweli pia shida. Swali langu....kuna mapungufu yeyote katika mahusiano yenu kwa sasa, if no....dont let the past destroy your today happiness.

Hata mii namshangaa hujakuta bkra kisa kuonyesha kua wewe ndo sawa kwake umuache unatatizo wewe sio buree
 
Kwa hiyo wewe una kibamia?

Labda baada ya kuzaa njia imepanuka anataka ze mandingo ya zamani, chunga sana bro. Haiwezekani akueleze from nowhere

Usimtishe mkuu maana dem kalinganisha sifazote ila ndo huyo kashinda na ndomana kamzalia mtoto
 
Hapo ni male ego ya mshikaji(EX) kukuzidi size ama ni nini kwa mfano?
Ulikuwa hujui kwamba kuna binadamu wengine wanakuzidi? Focus on what you can control, achana na hivyo vitu ambavyo vipo tu, whether you like it or not. Love her, marry her and live happily.
Huyo dada na yeye hana busara kwani siri kama hiyo ina umuhimu gani kukuambia?

Au ni nini matumizi yake katika uhusiano wenu? Tena at the risk of hurting your feelings.

Nihvi mkuu alifuma mawasiliano ndo kutengeneza uaminifu akamuambi akimaanisha sifa zote kama zake ilahuyo x hamfai kimaumbele akimaanisha hawezi mpa papuchi
 
Kama akiombwa kugegedwa unahisi umeombwa wewe!! kama akigegedwa inakuwa umegegedwa wewe ingetusaidia kuelewa na kukuelewa ni nini kinakusumbua, mwanamke mpaka kakuzalia hauoni thamani yako kwake, mwenzako aliishia kupiga push-ups, kaonjeshwa tu lakini wewe umepewa yoteeeee, NDUGU JITAHIDI KUWA NA HESHIMA, USIJE UKADHARAULIKA.

Mkuu kama hataelewa maneno haya basi kuna zaidi kaficha

madammex kamshauri vzuri pia kama kuna ziada basi achunguze asikurupuke hongera sana
 
Last edited by a moderator:
Huyo njia imeshatanuka baada ya kujifungua, sasa anahitaji mpododo wa ukweli. Na anajua kuwa ataumudu sasa.
 
Wewe unamatatizo mtoto amekopenda KIJI (nimekondensi)BAMIA chako amekimbia JI(nimezoom)TANGO unamwona hafai ni miaka mitatu inepita na mtoto umezaa nae come champ...usintende endele na mipango ya ndoa...ya kale si ndwelee and u can not change her past ganga ya jayo kaka.

Ukithubutu kumweka wazi ya kale yako wafikiri atafurahia?? Japo hawezi yabadiliii..songa mbeleeee
 
Back
Top Bottom