MSHINO
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 1,069
- 713
Mpenzi wangu leo nimeona nitoe Siri yangu niliachana na mpenzi wangu wa zamani (Boyfriend )ukweli mimi na mpenzi wangu wa zamani tulipendana sana tena sana, alinionyesha upendo kama wewe, ukweli alikuwa na sifa zote kama wewe, isipokuwa katika mahusiano kuna kitu komoja kama sikuridhiana basi hili ndilo muhimu sana, ukweli mimi na yeye hatukuendana.
Kimaumbile mpenzi wangu wa zamani alikuwa na maumbile makubwa kwa hiyo kila tukikutana mimi nilikuwa napata maumivu sana mpaka nilikuwa napiga kelele yaani hata kama kuna watu nje wanasikia. ilinilazimu niende kwa kwa daktari mmoja, kabla sijaenda aliniomba nishike mimba nikakataa hapo ndipo ugomvi ulianzia kwani sikumwambia kama nilikuwa nasikia maumivu, Dakatari alinishauri nijaribu kwa mwanaume mwingine, ndiyo nikaja kwako. Hiyo ndiyo sababu ya kuachana na yeye baba na mpenzi wa zamani.
Dada huyu ni mpenzi wangu wa miaka 3, na tumepata mtoto tulipanga kuoana lkn maneno haya yananichoma sana, nataka kuachana nae, je ni sahihi? naombeni ushauri.