Anaogopa akipokea simu zako atakukubalia harakaharaka. Ni mdhaifu kwenye maongezi huyo. Ukikutane nae ana kwa ana unang'oa kiulaini huyo kama uwezo huo unao.
Vijana weng tabia yenu ni kumtesti kwa simu na wala hutaki kuonana nae ana kwa ana unaongea maneno ya chumban wakat hujamtongoza manake nn? Mnaniboa nyie!!.. Eti mtu kaokota namba ya cm kwa shost baaas call kila night huyo mwenzio hasom? Je huon ka unamboa? Hebu soma ukpata hela ndo utatongoza kistaarab.
Kijana achana na mapenzi uwapo shuleni na uzingatie masomo kwani maisha hayana rewind..hiyo nafasi uliyoipata ni adimu sana na wengi wanaililia....kwa hiyo usiichezee kwani majuto yake ni makuuu...kuliko unavyofikiria...
ELIMU KWANZA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.