Nimekuwa nikipata usumbufu hasa kwenye mitandao ya tigo na voda wakati mwingine inachukua masaa sms kuwa delivered kwa muhusika, kwa yeyote anaejua tatizo hasa ni nn
Technology wanayotumia ni UDP. Hayo ni mambo ya kawaida hasa kwenye congested network. Ila over delay ni uzembe wao pia. Pole
Msipoteze muda nduguzangu hivi mnajifanya huduma nzuri hamjui zilipooo?mpangomzima babalao bwanaa jaribu utasimulia.
Tatzo lipo voda kwenda mitandao mingine haswa tigo
Sasa tukiwa kama walaji tunafanyaje kwa kupatiwa huduma chini ya kiwango?
Nimekuwa nikipata usumbufu hasa kwenye mitandao ya tigo na voda wakati mwingine inachukua masaa sms kuwa delivered kwa muhusika, kwa yeyote anaejua tatizo hasa ni nn
Nimekuwa nikipata usumbufu hasa kwenye mitandao ya tigo na voda wakati mwingine inachukua masaa sms kuwa delivered kwa muhusika, kwa yeyote anaejua tatizo hasa ni nn
Kama hivi mnatoa malalamiko wao wanaimprove service
Suluhisho;
Kama mtu anekutumia message anatumia line ya tigo mwambie atumie tigo yako, nawe hvohvo kama unaemtumia message ana line ya tigo, tumia hiyo
Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...
Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us