Meseji za simu kuchelewa kufika

dr samg

JF-Expert Member
Jul 22, 2012
292
159
Nimekuwa nikipata usumbufu hasa kwenye mitandao ya tigo na voda wakati mwingine inachukua masaa sms kuwa delivered kwa muhusika, kwa yeyote anaejua tatizo hasa ni nn
 
Isije ikawa wanahujumiana hawa, halafu tunaumia sisi wateja
Au ukakuta mitambo yao inazidiwa na hawataki kuingia gharama kuipanua
 
Sema usemavyo voda ndio was..en...g...e.....kupita mtandao wowote hapa nchini..
 
nikweli voda wanazingua ukituma msg kwenda mtandao mwingine inaingia fasta ngoja sasa akujibu yeye unaipata kesho
 
Hata tigo kuna tatizo hilo.ukiwapigia huduma kwa wateja wanakwambia zimu cm hlfu washa
 
Ila voda ndio wamezidi,nilimtumia mtu text,ikakaa cku tatu ndio akaipata.
 
Tuna wawajibisha vipi hawa jamaa kwa kutuletea huduma mbovu sisi walaji?
 
Msipoteze muda nduguzangu hivi mnajifanya huduma nzuri hamjui zilipooo?mpangomzima babalao bwanaa jaribu utasimulia.
 
Nimekuwa nikipata usumbufu hasa kwenye mitandao ya tigo na voda wakati mwingine inachukua masaa sms kuwa delivered kwa muhusika, kwa yeyote anaejua tatizo hasa ni nn

Technology wanayotumia ni UDP. Hayo ni mambo ya kawaida hasa kwenye congested network. Ila over delay ni uzembe wao pia. Pole
 
Technology wanayotumia ni UDP. Hayo ni mambo ya kawaida hasa kwenye congested network. Ila over delay ni uzembe wao pia. Pole

Sasa tukiwa kama walaji tunafanyaje kwa kupatiwa huduma chini ya kiwango?
 
Nimekuwa nikipata usumbufu hasa kwenye mitandao ya tigo na voda wakati mwingine inachukua masaa sms kuwa delivered kwa muhusika, kwa yeyote anaejua tatizo hasa ni nn

Kama voda ni majanga, jumatano tarehe 25 december nilituma sms, ikaja kuwa delivered ijumaa! Three days, hadi lengo la ujumbe likaisha muda!
 
Nimekuwa nikipata usumbufu hasa kwenye mitandao ya tigo na voda wakati mwingine inachukua masaa sms kuwa delivered kwa muhusika, kwa yeyote anaejua tatizo hasa ni nn

ni network mbovu kat ya line ya tigo kwenda mitandao mingine,,hata mm nshaboreka sana,,maana hata watu wa tigo wakinitumia message kwa line yangu ya voda wakat mwingine inanifikia after masaa mengi,

Suluhisho;
Kama mtu anekutumia message anatumia line ya tigo mwambie atumie tigo yako, nawe hvohvo kama unaemtumia message ana line ya tigo, tumia hiyo
 
Sawa lakini mpaka naandika post hii ni kwamba hata tigo kwenda tigo mchezo ni huo huo
Suluhisho;
Kama mtu anekutumia message anatumia line ya tigo mwambie atumie tigo yako, nawe hvohvo kama unaemtumia message ana line ya tigo, tumia hiyo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom