Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,539
- 30,094
Suprise iz better than Promise.
Dedication kwa my Huz Ben Saanane.
Mjini Pesa, U-handsome kwa ndugu zako kijijini.
Dedication kwa Chimbuvu.
Ulikiona chanini, wenzako wamesema watanipata lini.
Dedication kwa Arushaone.
Raha ya ubwabwa matandu, utamu wa kiuno Chachandu.
Dedication kwa Remote.
Upole wako wanimaliza, kifua chako chanipumbaza, nimekufa na kuoza, simtaki mwingine Braza.
Dedication kwa tedo.
Poa wangu kichuna, naona umeuchuna, wajanja wanajinona, tokeza ujitwalie.
Dedication kwa Chilli.
Mods tafadhali wekeni kitufe special chenye like kama TANO kwa wakati mmoja...