Meseji tamu kwa umpendae

Meseji tamu kwa umpendae

jamani mi sitembeagiiiiiiiiiiiii na vibaaaaaaaaaabu

Kwi kwi kwi kwi Paloma njoo unshikilie mbavu zangu kwi kwi kwi kwi kwi kwi
Kopi: Husninyo........kaoga kengine kama wewe haka hapa!
 
Last edited by a moderator:

raha ya kibabu nakupa mambo unanipa ankara sasa wewe ankaraaa huna wa nini??
akuuuuuuuuuuuuuu vibabu visivyo na mshiko mi sivitaki ungekuwa na mshiko ningekuita bamdogo au ankaliii
ushauri nenda kalime matoke
 
Nakupata KOKUTONA,mambo ya tenda love n care ikisindikizwa na wimbo wa houston i will always love you au wa 'love love to love you beibe' aliuimba nani vile?

Nyibo za Candy rain, i belong to u n.k yaani kweli old is gold aliimba donner nani sijui nshasahu. Mambo ya zamani yalikuwa mazuri acha
 
raha ya kibabu nakupa mambo unanipa ankara sasa wewe ankaraaa huna wa nini??
akuuuuuuuuuuuuuu vibabu visivyo na mshiko mi sivitaki ungekuwa na mshiko ningekuita bamdogo au ankaliii
ushauri nenda kalime matoke

Shika adabu yako amu mi nna hela!
 
Last edited by a moderator:
Shika adabu yako amu mi nna hela!

teh teh Bishanga bana wenye hela hawasemi mi nnahela hii naifananisha na baba mlevi anawaambi wanawe kila kitoka kilabu kulewa ''mimi ni baba yenu''
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom