Meseji ndio njia rahisi ya kutongoza mwanamke

Meseji ndio njia rahisi ya kutongoza mwanamke

baptist

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2013
Posts
434
Reaction score
279
Niaje niaje humu ndani.

Kuna mtoto najaribu kumuweka sawa hapa kwa message yani sound linamuingia mpaka raha, maana anaelewa mno, face to face inakuwa ngumu kidogo si rahisi kudanganya lakini kwenye message unatiririka tu kama kawaida.

Na pia chance ya kuwa rejected ni chache sana maana unamwaga uongo wote kwa maandishi.

No offence just an opinion.
 
hahhahahha domo zege lakin mzigo si unalika aisee au ni kosa nini wakuu!!
 
njoo nkupe mistar hatar ya face tu face.

Acha kukariri mkuu, aliyekwambia face to face inashindikana ni nani aisee mbona unajiona bingwa sana wa kupigwa saundi face tu face..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom