Meseji kali ndani ya INBOX...ICHEKI HII

Meseji kali ndani ya INBOX...ICHEKI HII

Yakwangu...KUNA BONGE LA NYUZI KWENYE ENTERTEIMENT ...WALE WA MUZIKI YA BAKULUTU MUWAIIII dedline 28 this mounth...
 
Ya kwangu inasema hivi:
Sasa furahia punguzo 20% kupiga mitandao yote kwa salio la tigo niwezeshe (MKOPO), PIGA *149*05 "OK" kukopa.
 
umelipa deni la sh 500 bado unadaiwa sh 50 kwa kiasi ulichokopa tarehe 1 january
 
hny mzee kaondoka vipi una nafasi nije.? niko na hamu kubwaaaaaaa...!
 
unapata picha jinsi nilivyo wa moto halafu sasa hivi nimelowa
 
Back
Top Bottom