mh, haya, maumivu ya kichwa yamenianza hapa, je nikupe namba yake?
ok nimekusoma sasa, hata mimi msimamo wako umenivutia, hata macho yako pia, nahisi unaponiangalia kama UNANIITA, japo nami ni mke mwenzio..kiding
hapana shoste mie sina kazi nae huyo namba yake itoe kwa wakaka, hapo mie naangalia uumbaji wa mungu tuu na kufaharisha macho tuu. Mie mwenyewe nasubiri kuliwa on xsis tena huyo wa nn? hapa nimejipaka viungo kibao na mafuta yangu haya natural ntajikaanga sku ikifika yeye (mlaji) atakuwa anakula huku anajilamba tuu, ntamtahadharisha tuu asije akajing'ata ale taratibu kwani yuko peke yake......
xsis njema na wewe Amavubi pamoja na familia yako.
nakutakia kuliwa kwema xssheheheheheeeee haina majotroo mke mwenza ili mradi tuu hukikati utakula ukimaliza unakiosha na mie nakuja kula akirudi home kwani nikimbana nile peke yangu sitaweza kumaliza na hii diet ninayofanya nikila kidogo tuu nimeshiba sasa yeye(mlaji) kaandaa meza bufee si itakuwa dhambi kumwaga chakula? Ukinisaidia mke mwenza itakuwa jambo la kheri mradi tuu usiikate ukabaki nayo, we ukishiba unaifuta vizuri ikija kwangu safi naishosha tena nami nakula kwa size yangu.....me kidding too hehehehehehhee
nawe pia, atakayetaka atapewa ipo kwa ajili yaohapana shoste mie sina kazi nae huyo namba yake itoe kwa wakaka, hapo mie naangalia uumbaji wa mungu tuu na kufaharisha macho tuu. Mie mwenyewe nasubiri kuliwa on xsis tena huyo wa nn? Hapa nimejipaka viungo kibao na mafuta yangu haya natural ntajikaanga sku ikifika yeye (mlaji) atakuwa anakula huku anajilamba tuu, ntamtahadharisha tuu asije akajing'ata ale taratibu kwani yuko peke yake......
Xsis njema na wewe amavubi pamoja na familia yako.
Daah!!! yani leo hapa home jogoo limeibiwa maza haongei na mtu....
Christmass ishakuwa mbaya tayari aaagggghhh!!!
...yasiyo na lehemu!??!
nakutakia kuliwa kwema xss
Mmmmhhhh huo mkao wa huyo mdada.....!!!1 japo mie mwanamke ila najua kuna wanaume hapo wakiutazama huo mkao unaamsha hisia, maana amekunjika hadi kunoga.
kama ukai uswahili kwa kopa basi manzese kwa mfuga mbwa ndio kuna tabia hiyo ya wizi wa kuku..
View attachment 75931
Crisis nyingine hiyo.....hii ilishatumwa humu lakini nimejalizia mada
subiri next half, naona hii ni npost yako ya pili nami nimekupa LIKE, ni kweli kabusa ndio maana nimeeita Merry Crisis.............Aisee kipindi hiki ni soo kwa ndege, wanyama na hata binadam kwa ujumla tunakufa sana m nahic wakati cc tunawinda ndege na wanyama wengine ili tufaidi ckukuu naamin kuna viumbe vingine wanatuwinda ili watufaidi ckukuu
mh! utaacha huyu jamaa akupe pm, mbona una-MTIA majaribuni?