Merry Crisis and Sad New Fear...

Mmmmhhhh huo mkao wa huyo mdada.....!!!1 japo mie mwanamke ila najua kuna wanaume hapo wakiutazama huo mkao unaamsha hisia, maana amekunjika hadi kunoga.
skapalni wewe unaongea/umeandika haya kweli? huu mkao unaitwa nipe nikupe na huyu dada anaonekana ni wa nyanda za juu kusini...........:israel:
 
Bad enough tushaalika watu, yule jogoo mwenye miaka kadhaa ataliwa christmass hii....
Sijui naanzia wapi kucancel hiyo mialiko,watu wengine bana!!!!
usijali hiyo ni survivak for the fittest.....kwa kweli inabidi aliwe tu....lakini usimtazame usoni...........
 
skapalni wewe unaongea/umeandika haya kweli? huu mkao unaitwa nipe nikupe na huyu dada anaonekana ni wa nyanda za juu kusini...........:israel:

ndo mie hapa niliyesema/kuongea haya maneno japo mie mwanamke mwenzie ila huo mkao sio siri unaamsha kichwa kile cha chinina jicho lake moja linawaka kodo...!!!
 
Mmmmhhhh huo mkao wa huyo mdada.....!!!1 japo mie mwanamke ila najua kuna wanaume hapo wakiutazama huo mkao unaamsha hisia, maana amekunjika hadi kunoga.

Afadhali umesema wewe! ningesema mie ningeitwa mzabzab!!!:becky:
 
Last edited by a moderator:
ndo mie hapa niliyesema/kuongea haya maneno japo mie mwanamke mwenzie ila huo mkao sio siri unaamsha kichwa kile cha chinina jicho lake moja linawaka kodo...!!!
mh, haya, maumivu ya kichwa yamenianza hapa, je nikupe namba yake?
 
Afadhali umesema wewe! ningesema mie ningeitwa mzabzab!!!:becky:

nimewasaidia kusema heheheheheee! wajua kuna vitu vingine vya wanawake huwa vinawavutia wanawake wengine. Mnawza kuwa mko wanawake na wanaume mahali halafu akatokea au kupita mwanamke mmoja ambaye anamvuto au kwa kutembea au mkao kama wa huyu dada nakwambia hata wanawake wenzake watamgeukia kumuangalia je wanaume si ndo nyoka anatoka pangoni hadharani..................
 
ok nimekusoma sasa, hata mimi msimamo wako umenivutia, hata macho yako pia, nahisi unaponiangalia kama UNANIITA, japo nami ni mke mwenzio..kiding
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…