Merry Christmass and Happy New Year to all Jf members...

Merry Christmass and Happy New Year to all Jf members...

stevoh

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2011
Posts
2,921
Reaction score
1,107
MARRY CHRISTMAS!
Uongozi wa Jf nikianza na "Founder" SALUTEE,
Mods,
Viranja wa majukwaa yote ya Jf bila kumsahau
"Monter" WA CHIT-CHAT.
(jina nahifadhi kutokana na sababu za kiusalama. Sitaki PM.)

Msione mapema!
ni kutokana na mfumuko wa bei uliopo,
inawezekana 25 desemba yakatokea yafuatayo:-
tukatuma sms kwa sh 850,

au bei ya bando ikapanda
na huu mgao wa umeme inawezekana simu na laptop bila kusahau desktop zikawa hazina chaji

hivyo nikashindwa kuwatakia heri ya chrismas.


Bora niwahi mapemaaaa.

Marry christmas and Happy New Year,
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Huwa sipiti CC, lakini kwa hili imebidi nije!
Msimwonee mtumishi wenu bana!...mti wenye matunda matamu ndiyo hutupiwa mawe!

hivi kumbe wewe ni mti eee em ngoja nitafute mawe!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom