JiweLinaloishi
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 3,737
- 2,139
kwanza nipo mkoa ambao haupo.
upi huo!!! kiembe mbuzi??
kwanza nipo mkoa ambao haupo.
stevoh picha huoni hata mandishi huoni pia aiseSitaki shida maana bado sijaelewa unachotafuta.
Very thanks Mr Rocky!
Mbona mapema hivyo mkuu...hata nguo ya sikukuu bado sijanunua.
mi nashagaa wanavyowahisha siku mbele hawa watu, shem kwemmma!
Mungi ndo mambo gani haya aise unawaamsha watu waliolala we mwacha akija kuamka anakuta manyoya tuu kuku kashaliw aaise
Mungi na Filipo kiroho kinawadunda mbaya
stevoh niko makini sana aise na nimejipanga hakuna kitu chenye ncha kali wala nini aiseMi niko poa mtu wangu. Kimya kingi ishu zinasemaje?? Taratibu na vi**** vya watu ohoooh