Merry Christmas Tundu Lisu

Merry Christmas Tundu Lisu

Mwambieni leo kuna PIPA lingine lina TOUCH DOWN.
ila nashauri msimwambie maana hiyo speedy recovery inapungua.
Ndio mlitaka kumtoa roho kwaajili ya hizo pipa!
Akiki zenu mnazijua wenyewe
 
Mungu wako ndio Mungu wangu ndio Mungu wa Lissu ndio Mungu wa JPM ndio Mungu wa Lipumba ndio Mungu wa Sugu ndio Mungu wa Mbowe ndio Mungu wa Simba ndio Mungu wa Nkana ndio Mungu wa nyoka ndio Mungu wa vibaka ndio Mungu wa majambazi ndio Mungu wa mazuri, vizuri na mabaya, hivyo acha kumchanganya Mungu.

Haupo sahihi
Kwahiyo mtu asiseme MOLA WANGU MLEZI?
Kwasababu tu Muumba wangu ni wako pia?

Haupo sahihi tena
MOLA WANGU MLEZI hawezi kufanana na Mungu wako na wengine……
Wengine Mungu wenu ana UTATU anatafanana vipi na MOLA WANGU MLEZI MMOJA?

haupo sahihi pia.
Wengine YESU ndio Mungu wao,,,
Vipi useme Mola huyo huyo ndio wangu na wako? Wakati mimi iman yangu ni ISSA/YESU ni mjumbe na ni Mwanadam?
Kamwe hatuwezi kuwa sawa.
 
Wengine walitamani iwe Christmas ya pili akiwa amelala mavumbini.
Acha Mungu aitwe Mungu!
Mungu mkubwa zaidi ya wote!
Mungu ni Mungu sio mwanadamu ,,,laana zinawarudia walio taka kuua ndo maana kla aliyetaka kumuua lissu afanikiwi Kafka mambo yake ,,kla analolifanya anakosa baraka hat kwa viongoz wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom