min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 45,962
- 126,396
Uje gheto nikusimulie hadithi
Uje gheto nikusimulie hadithi
Ndo mnavyowadanganyaga Gen Z hivyo 😂Uje gheto nikusimulie hadithi
Kweli uje hatutafanya kitu , uje umevaa zile jinsi m bano , ni stories tu na kutafuna karanga na visodaNdo mnavyowadanganyaga Gen Z hivyo 😂
Naijua hiyo, unatekenywa tekenywa hizo suruali mbili unajikuta unazivua mwenyewe 😂Kweli uje hatutafanya kitu , uje umevaa zile jinsi m bano , ni stories tu na kutafuna karanga na visoda
Nilijiandaa kukupongeza kumbe umeangukia tena kileo, pole sana ila kula maisha.Salaam
Baada ya kuacha pombe Kwa miezi kadhaa,,ni mwaka na miezi kadhaa nadhani.
Niliacha pombe Kwa hiyari yangu mwenyewe bila shinikizo.
Hii ilitokana na kupoteza kiasi fulani cha pesa nikiwa tungi,hivyo ili kuongeza umakini nikaona option ya kwanza ni kuacha pombe.
But lakini faida za kuacha pombe sijaona zaidi ya kupoteza wadau na watu wa maana ,maana mipango yangu yote nje ya kazi yangu ,Mimi nafanya na wadau wangu ,yaani watu wa maji kama Mimi.
So samahani walokole na Charismatic wote Mimi narudi nyumbani KUMENOGA.
Siwezi kujizuia , Cheers Kwa wadau wote Jack Daniel nimerudi Kwa hewa.
Kwa leo location ni Makuburi Jeshini huku Corner lounge iliyovunjwa then upande wa pili wa barabara 🍺🍺🍺🍺
Sio mbaya lakin , si unapata utamu lakiniNaijua hiyo, unatekenywa tekenywa hizo suruali mbili unajikuta unazivua mwenyewe 😂
Mimi siyo mlevi (addicted)Nilijiandaa kukupongeza kumbe umeangukia tena kileo, pole sana ila kula maisha.
Merry Christmas
Hata hii Mirinda nyeusi ninayokunywa hapa inanipa utamu pia!Sio mbaya lakin , si unapata utamu lakini
Basi sawaaHata hii Mirinda nyeusi ninayokunywa hapa inanipa utamu pia!
Asante nikaribie wapi sasa?Mimi siyo mlevi (addicted)
Ni mnywaji mstaarabu karibu soda 🤣
In 🍷 WINE there is WISDOM ☺️😀😆😁Soon natia timu hapo, niandalie mvinyo🍷.
Walatini tunasema "in vino varitas" (in wine there is truth).
min -me.
Save water drink 🍻 beerDah siku hizi uwezo wa kunywa umepungua toka nimefika ni bia mbili tu nimegusa dah
Mkuu Asante sana Kwa ukaribisho.Wa Alaikum Salaam ndugu kwema karibu sana kigamboni
Fact and not an opinion 🔥.In 🍷 WINE there is WISDOM ☺️😀😆😁
KwemaKwema tayana mishe vip mama mchunga?
Pasta hajambo lakiniKwema
Mungu mwema anatupigania
Hahaaa