Merlin season 6 ....

Merlin season 6 ....

Jamani ni merlin coz inakuwa inaenda na flash back ambayo ather atakuja kuzaliwa upya..ila idea ni tofauti na pia mkataba wao na bbc uliisha.
Kuna mtu alikuwa anaidownload ila ilipofika epsod ya nne haijatoka tena.
Inaitwa merlini na wapo vile vile

Link to prove hiy
 
soma vizuri comment ya juu nilisema bbc na sky na misfit niliieka kwenye mabano hiyo siku na uhakika so tumepata mbili hapo right?

1.merlin
2.atlantis

tuendelee na list

3. dr who - kwa waangalia series wa zamani hii ni series ya mda mrefu sana na inapendwa pia bbc waliicancel
Steven Moffat: It Was Stupid Of BBC To Cancel 'Doctor Who'

4.luther- hii author wake mwenyewe ndie alitoboa siri
"Luther" Creator Says Season 3 Will Be The Last Before Bi | Shadow and Act

5.upstairs downstairs
Upstairs Downstairs is axed, but did it really have to die? | Television & radio | The Guardian

hizi tano zinatosha kuprove maneno yangu. uliza mtu yoyote ambayo yupo updated na series kuhusu show za bbc uone atakupa jibu gani

Duhh mkuu yaani unashindwa hata kusoma links zako mwenyewe ?
3. dr who - kwa waangalia series wa zamani hii ni series ya mda mrefu sana na inapendwa pia bbc waliicancel
Steven Moffat: It Was Stupid Of BBC To Cancel 'Doctor Who'

By the way sasa hivi hii inaendelea kuonyeshwa na BBC America na ipo in season..... ila kwa wakati ule ilikuwa cancelled na sababu ipo kwenye link yako ....

"Doctor Who" premiered in 1963 and amassed a devoted fanbase over the decades until it was canceled in 1989. The BBC General Director at the time, Michael Grade, defended his decision for canceling the series. "I cancelled it. It was absolutely the right decision at the time ... The show was ghastly. It was pathetic ... It lost its way."

Soma tena hii link yako mkuu creator mwenyewe ndio aliamua kumalizia ilipoishia akiwa na mpango wa kuleta movie..., sasa ullitaka creator aendelee tu kutunga wakati anaona ndio muda muafaka wa kumaliza ? Au tuwalaumu BBC kwa uamuzi wa creator ?

Sasa hii ndio ilikuwa cancelled and for good reason.....

There was not exactly a huge clamour by viewers to keep Upstairs Downstairs, despite an impassioned campaign here on the Guardian's series blog and on the Radio Times and BBC websites. People who loved Upstairs loved it very much. There just weren't that many of them. Upstairs' Neil Jackson, who played Spargo the Downstairs chauffeur, summed it up when he tweeted: "Not good enough viewing figures, I guess." Facebook provides an eloquent demonstration of the whole sorry business. The Save Upstairs Downstairs page has 51 likes. The page for Isis, the dog on Downton Abbey, has more than 1,000. When a labrador is getting better ratings than you, it really is time to give up.

uliza mtu yoyote ambayo yupo updated na series kuhusu show za bbc uone atakupa jibu gani

Mkuu nimuulize nani wakati mimi mwenyewe naangalia sana series ? Ndio maana nikakwambia TV Networks zinacancell sana series kama viewers wakiporomoka ila sababu BBC sio profit oriented ukilinganisha na wengine percentage wise cancellation zao ni chache sana .......
 
Hahaah robinhood ni moja yapo ya series zilizoaxe na bbc
 
Also Atlantis story imeishia njialanda

Hii imekuwa cancelled na tatizo la kuwa cancelled bila kupewa chance ya kuleta last season ndio hilo mara nyingine network ikiona viewers wanapungua wanawapa last short season ili ku-wind up...., au kama ina followers wengi network nyingine labda yenye demographic (targeted viewers wengi ) wa hio series wanaweza kuinunua ..., refer Longmire baada ya kuwa cancelled nadhani Netflix wameinunua .., na pia Netflix imekuwa ikinunua series nyingi na kuzifufua
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom