Mererani Mafia Tanzanite - Hii documentary ni nzuri

Mererani Mafia Tanzanite - Hii documentary ni nzuri

Haina hata siku tatu.
moja ya vyanzo vya mapato vya Al-qaida chini ya uongozi wa Osama ni biashara ya Tanzanite na walifungua ofisi Nairobi. Hii taarifa ilitoka baada ya ulipuaji wa balozi za Kenya na Tanzania.
Hii documentary inaweza kuwa mpya ila taarifa za Al-qaida kujihusisha na biashara ya Tanzanite ni ya muda mrefu.
 
Documentary imezungumzia hadi ugunduzi wa Tanzanite miaka ya 1960's. Huwezi kuiita ya zamani kwa kuzungumzia historia.
 
This shows you how lawlessness, unorganised and undisplined Tanzania is. Led by clueless, corrupt ridden, brazenly idiotic leades.
 
a stupid naija boy talking about Mererani that he only everwatched it on yuotube making an AI generated story!
What a bummer!
ujinga mtupu
 
Miaka 37 sasa toka nianze nakunywa bwii tu na sina abari.
Sasa siku nishindie maji na Cola au juice.
Kwanza utanionea huruma.siku 3-4 ntakua nimekodoa tu km popo😠.
Alafu balaa kulala,unaingia asubuhi mapema kazini..
Hizo hasira unaweza kupiga teke hata dustbin mradi tu.
Ukutane na boss mnoko unaweza kumkaba hadi ukaua.
Yote ni stress za usingizi hujanywa bia.
Mi natafuna sa hii badae mpk sa 12 asubuhi niko poa siku nzima.
 
Back
Top Bottom