Nikifufukammekwisha
JF-Expert Member
- Aug 17, 2007
- 260
- 6
Pundit, i beg your pardon. Sio joker...... kuna kitu zaidi ya hapo. Kadanganywa vibaya sana. Bunge, lisiambiwe ni usalama wa Taifa. Kamati ya Rais ya Madini inaambiwa.... usalama gani wa Taifa kwa watu ambao hata hawajala kiapo cha kuficha siri? Usalama gani wa Taifa mbele ya wafanyabiashara wasio wabunge na wengine hawajawahi kuwa katika utumishi wa Umma. Kuna distortions from the government side and from the opposition side. Now the whole truth has to be said. HAKUNA USALAMA WA TAIFA. Nipo Kigoma, narudi huko. Mungu aniweke tu.... Nasema hapa ilki iwe wazi na sina cha kuficha ili niibuke tu Bungeni.
Its not about Pinda, its the nation. Our country!
Haya ndiyo mambo ya "The president was misled"
...Mara nyingi watu wanaosema "The president was misled" au "the PM was misled" wanakuwa either ni wapambe au watu fulani ambao wako diplomatic to a fault na hawawezi kusema "The president erred" of "The PM erred"
...jmushi1, sijui hisia zako.... ila katika hili nadhani una over-react.... sidhani kama Mh. Zitto alikusudia kukudhalilisha wewe.... ametoa comment yake kuhusiana na comment uliyoitoa. Please nakuomba punguza jazba na nia ya kuleta personal battles jamvini, not necessary at all. Please - please! Thanks.Kama Madai Yako Ya Kunidhalilisha Kuwa Nina Akili Finyu!
Then Soma Hii Habari Hapo Chini Na Uniambie Umeilewa Vipi Na Ukishindwa Sisemi Kitu Hadi Ukamwite Rafikiyo Fisadi Kikwte!
Sasa ikitoka kwa Mpinzani inaweza kumaanisha nini?
Your guess is as good as mine.
tony Blair Is Pushing Hard For African Debt Relief Agreements In The Run-up To The G8 Summit In Scotland In July. But While Sub-saharan Africa Is The Object Of The West's Charitable Concern, Billions Of Pounds' Worth Of Natural Resources Are Being Removed From It.
A Guardian Investigation Beginning Today Reveals That Instead Of Enriching Often Debt-ridden Countries, Some Big Corporations Are Accused By Campaigners Of Facilitating Corruption And Provoking Instability - So Much So That Organisations Such As Friends Of The Earth Talk Of An "oil Curse".
simon Taylor, Director Of Global Witness, Which Has Been Prominent In Urging Reform, Said: "western Companies And Banks Have Colluded In Stripping Africa's Resources. We Need To Track Revenues From Oil, Mining And Logging Into National Budgets To Make Sure That The Money Isn't Siphoned Off By Corrupt Officials."
...jmushi1, sijui hisia zako.... ila katika hili nadhani una over-react.... sidhani kama Mh. Zitto alikusudia kukudhalilisha wewe.... ametoa comment yake kuhusiana na comment uliyoitoa. Please nakuomba punguza jazba na nia ya kuleta personal battles jamvini, not necessary at all. Please - please! Thanks.
SteveD.
ZITTO PANDIKIZI WE NA MAISHA YAKO YA KISIASA YAKO UKINGONI!
BLAIR ALIKUWA KIPENZI..AKAMKUMBATIA BUSH KWA SABABU YA MAKUBALIANO YA IRAQI NA ZIMBABWE!
NA WEWE UMEMKUMBATIA KIKWETE KWASABABU ULIWEKWA KWENYE KAMATI YA MADINI PAMOJA NA IDDI SIMBA AMBAYE ALIKUWA ENGINEER YA UFISADI WA ccm WA EPA kwa kushirikiana na LUKAZA,MALEGESI,NA WENGINEO?
ZITTO NIMESHAGUNDUA HUNA UWEZO WA KUTIZAMA MBELE NA UWE MAKINI!
UNAKULA MEZA MOJA NA MAFISADI NA WEWE NI NANI?
ETI ZIMBABWE ZIMBABWE!
HABARI YANGU HAPO JUU YA THE SCRAMBLE FOR AFRIKA...WAZUNGU WANAKUTEGA NA RUSHWA KAMA ILIVYOKUWA NA KINA SINCLAIR MLIOWAPA RIPOTI ZETU ZA MADINI YETU!
HALAFU WANAKUWA NA UWEZO WA KUKUFANYENI VIBARAKA WAO!
NA KWASABABU HIYO BASI...WEWE PIA UMESHATEGWA!
What is your guess?
jmushi1, narudia kukusihi.... punguza jazba. Please learn to take criticism... siyo kila mtu akikusema kidogo kulingana na kile ulichoandika ndiyo mwisho wa majadiliano. Sasa statement kama hapo juu zinaashiria nini kama siyo ugomvi usio na vichwa wala miguu... kwa kweli ndugu, saa nyingine mimi naona unawapa kazi hata wale wanaokutetea pale unapofungiwa jamvini... please moderate yourself. Huna haja ya kuandika posts mia700 kwa siku kwa ajili ya kujibizana tu na watu...Wewe Mbunge Wa Kigoma Mwenye Kujisifia Kwa Na Akili Nyingi Na Wengine Finyu!
Hii Habari Haina Uhusiano Na Zimbabwe,na Issue Zote Za Ufisadi Wenu Na Kina Sinclair?
Please learn to take criticism... siyo kila mtu akikusema kidogo kulingana na kile ulichoandika ndiyo mwisho wa majadiliano. Sasa statement kama hapo juu zinaashiria nini kama siyo ugomvi usio na vichwa wala miguu... kwa kweli ndugu, saa nyingine mimi naona unawapa kazi hata wale wanaokutetea pale unapofungiwa jamvini... please moderate yourself. Huna haja ya kuandika posts mia700 kwa siku kwa ajili ya kujibizana tu na watu...
Hope you understand my point. Thank you.
SteveD
ZITTO PANDIKIZI WE NA MAISHA YAKO YA KISIASA YAKO UKINGONI!
BLAIR ALIKUWA KIPENZI..AKAMKUMBATIA BUSH KWA SABABU YA MAKUBALIANO YA IRAQI NA ZIMBABWE!
NA WEWE UMEMKUMBATIA KIKWETE KWASABABU ULIWEKWA KWENYE KAMATI YA MADINI PAMOJA NA IDDI SIMBA AMBAYE ALIKUWA ENGINEER YA UFISADI WA ccm WA EPA kwa kushirikiana na LUKAZA,MALEGESI,NA WENGINEO?
ZITTO NIMESHAGUNDUA HUNA UWEZO WA KUTIZAMA MBELE NA UWE MAKINI!
UNAKULA MEZA MOJA NA MAFISADI NA WEWE NI NANI?
ETI ZIMBABWE ZIMBABWE!
HABARI YANGU HAPO JUU YA THE SCRAMBLE FOR AFRIKA...WAZUNGU WANAKUTEGA NA RUSHWA KAMA ILIVYOKUWA NA KINA SINCLAIR MLIOWAPA RIPOTI ZETU ZA MADINI YETU!
HALAFU WANAKUWA NA UWEZO WA KUKUFANYENI VIBARAKA WAO!
NA KWASABABU HIYO BASI...WEWE PIA UMESHATEGWA!
Sitaki wanipigie. Strategic off air
DODOMMA kesho
kwi kwi kwi kwi hope watapata ujumbe wako.
Uliza parochial ina maana gani kabla hujasema nina jazba!
nchi imeuzwa acheni upambe wenu!
hakuna cha mbunge wa kigoma wala kikwete,mkapa,rostam whoever!
HAPA NI ISSUES NA HOJAZ NA SI KUITANA MAJINA!
KAANZA YEYE...NA YEYE NDIYE WA KUYAMALIZA!
UPO?
Bwana mdogo Mushi licha ya kuropokwa kwake kwingi, lakini mara nyingi anagusia mambo ambayo tunayapuuzia na kukutana nayo hapo baadaye. Nafikiri hapa kuna ya kukariri na kuchunguza.