bima???
Hakuna tatizo kama lenyewe limegeuka majivu ila waliokuwemo wamepona,hilo latafutwa lakini sio uhai wa watu.gari hiyo iliyowaka moto maeneo ya Tabata kinyerezi ilisababisha ajali ndogo ya gari aina ya Cresta na Pikipiki..
wamepona huyo mwenye cresta alikuwa kwenye speed ya kasi, Moshi wa gari iliyoungua ndo ilisababisha ye akakosa mwelekeo akaacha njia na kuigonga bodaboda lakini hakuna mtu aliyeumia
Hayo magari ya aina ya BMW sijui yalikosewa nini! kuna matukio mengi ya moto kwa aina hii ya magari.Mbona ni kama BMW?
mawazo mgando hayo! hujapata matatizo wewe! amefanya utafiti au ...Hili suala mara nyingi ndo hasa chanzo cha ajali hizi za moto,
watu wanacheza dili na kuunguza magari yao waliyoyachoka
au mikweche ili walipwe bima na kununua mengine mapya...
mawazo mgando hayo! hujapata matatizo wewe! amefanya utafiti au ...
Wewe ni mmoja wao au? Siongei kitu nisichokijua...
Sielewi kwanini upandwe jazba kwa hoja hii! Anyway, sina mudanyie ndio mnao fanya assumptions tu sio wote wenye akili kama zako... mnafikiria ku take advantage kwa kila situation. acha kudhani watu wote wahuni
Benzi hiloo....sio BMW
![]()
![]()
bmw vp wakati watu tunaishuhudia toka inaanza kuwaka?? Acha kujifanya mjuaji
Hiyo gari nilipoona body tu nikajua ni BMW....vipi unatuuza mchana kweupe, tueleze basi Benz Model gani?
Eti benz,khaaaaa!! Hiyo ni bmw 7-series ya mwaka kati ya 1993-2001