Loy MX
JF-Expert Member
- Mar 26, 2012
- 1,253
- 313
gari hiyo iliyowaka moto maeneo ya Tabata kinyerezi ilisababisha ajali ndogo ya gari aina ya Cresta na Pikipiki..
bima???
Mbona ni kama BMW?
Sasa kwanini hamkuizima!...Wabongo mnapenda sana kushikilia viuno kuangalia na kusimuliana vijiweni!BMW vp wakati watu tunaishuhudia toka inaanza kuwaka?? acha kujifanya mjuaji
Pole sana kwa mmiliki wake...bahati mbaya ukute ni ya mkopo....yaani kha.......
Mkuu labda ana comprehensive insurance policy,hivyo hakuna haja ya kumwonea huruma!
Mkuu mbona unauliza swali gumu, wakati unajua fika kuwa sisi wengine magari tumeyajua ukubwani?Hiyo gari nilipoona body tu nikajua ni BMW....vipi unatuuza mchana kweupe, tueleze basi Benz Model gani?
Moto ulisababishwa na nini? Ni vema kutoa taarifa iliyo kamili ili na sisi wengine tujifunze kutokana na makosa ya huyo ndugu yetu.acha lawama mzee mbona jitihada zilifanyika kwa sana tu.
Hawa wenye Ma 'BMW' na Ma 'Mercedez benz' huwa wana mahela bana!labda bana...you never know........
Mkuu wangeuzimaje moto wakati hawakuwa na vifaa vya kisasa vya kuzimia moto kama vile fire extinguisher?Sasa kwanini hamkuizima!...Wabongo mnapenda sana kushikilia viuno kuangalia na kusimuliana vijiweni!
Hiyo gari nilipoona body tu nikajua ni BMW....vipi unatuuza mchana kweupe, tueleze basi Benz Model gani?