Mercedez benz yageuka majivu (tabata kinyerezi)

Mercedez benz yageuka majivu (tabata kinyerezi)

Hili suala mara nyingi ndo hasa chanzo cha ajali hizi za moto,
watu wanacheza dili na kuunguza magari yao waliyoyachoka
au mikweche ili walipwe bima na kununua mengine mapya...

Kama gari lako ni mkweche bima itakulipa kulingana na thamani ya gari lako kufikia kupata ajali, uwezi benefit kupitia bima.. hii kwenye insurance policies inaitwa "indemnity"
 
Sielewi kwanini upandwe jazba kwa hoja hii! Anyway, sina muda
wa kujibishana na wewe, hamkawii kuanza matusi kwa kuamini
hamtajulika kwa majina yenu ya bandia...

unadhani ukitumia jina lako halisi ndio tutakujua wote? ulivyo mgando unadhani wote wenye majina halisi wamekuwa verified? au wote verified ni majina yao? haya mzee wa kufanya assumptions badilika, acha kukariri, elewa! Good day anyway!
 
Huyu vipi? Stress za nyumbani kwako kuzileta JF haikusaidii...
 
Huyu vipi? Stress za nyumbani kwako kuzileta JF haikusaidii...

ha ha haaa, Bishop? jina? cheo? Kaazi kweli kweli..! Great thinker? NO WAY..! uzuri wa jf inakusanya wote umekula lakini? maana hii kichwa inaonekana haipo sawa hii:majani7:
 
ha ha haaa, Bishop? jina? cheo? Kaazi kweli kweli..! Great thinker? NO WAY..! uzuri wa jf inakusanya wote umekula lakini? maana hii kichwa inaonekana haipo sawa hii:majani7:

Hivi wewe una matatizo gani, au bangi bila kula? Unaacha kujadili hoja ya msingi unabaki kumshupalia
mtu! Eti na wewe unajiita great thinker!
 
Hivi wewe una matatizo gani, au bangi bila kula? Unaacha kujadili hoja ya msingi unabaki kumshupalia
mtu! Eti na wewe unajiita great thinker!

Mungu wangu huyu jamaa anawaumini mabwege kiasi hiki?.... bishop? hahaa! we kweli mbegu!
 
mwisho wa siku mabwege utayajua akili zao zinakimbilia chini ha ha haaa! unapakatwa!

Inaonekana huo ndo msamiati mpya ulioupata hivi karibuni, maana ndio limekuwa tusi lako.
Haya -----, jioni niPM nikueleze wapi uje nikushughulikie.
 
Back
Top Bottom