Menu yangu ya leo. Karibuni

ahsante ila nikija tutashiba kweli maana naona kama hicho chakula kidogo
 
Chakula kidogo hicho...ama kuna cha aina kingine pembeni?? FirstLady1
 
Last edited by a moderator:
Tunakula menu au tunakula chakula? lol
 
yaani mchana unipite bila ugali!
no way....

Kumbe na wewe mpenzi wa Ugali kama mie ..mboga gani unapendelea ili siku ukinitembelea nisibakia kushangaa
Dagaa ,Matembele,Mchicha ,Kisamvu ,Kuku Choma or Majani ya kunde?
 
Kumbe na wewe mpenzi wa Ugali kama mie ..mboga gani unapendelea ili siku ukinitembelea nisibakia kushangaa
Dagaa ,Matembele,Mchicha ,Kisamvu ,Kuku Choma or Majani ya kunde?
vibaya hivyo rafiki unanitoa mate tu hapa mwenzio... mweeeeeee!
hizo mboga zote bomba kwa ugali.... hasa dagaa, matembele, pia napenda samaki na mlenda....... yaani hapo ugali mkubwaaaaa......tena ukichanganywa na unga wa muhogo ni balaa.
 
Reactions: BAK
pande zipi uko nije now? au nile ki digital?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…