Menu "sato" mezani anakuja "kambale"

Menu "sato" mezani anakuja "kambale"

Evelyn Salt

Platinum Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
78,846
Reaction score
172,470
IMG_20181001_203052_167.jpg


IMG_20181001_203115_644.jpg
 
Naiona Jf VAR ikihamia huku kwa sipidi
 
Hata hiyo real sio real. Hadi hapo imeshakobolewa na makamera ya emoji au 360!
 
Mtu mmoja aliwahi kusema ukimroga mdada wa Kibongo usishangae uchawi ukimpata mdada nchini China au India, maana kila kitu siku hizi kwa dada zetu ni kutoka China au India: kope, nywele, rangi ya ngozi ya mwili, kucha, maumbile n.k... nadhani hadi akili zao na mioyo yao siku hizi ni ya kichina...
 
Ogopa picha za wadada mitandaoni.

Mimi ni online fisher, nimekutana na vimbwanga vingi sana mitandaoni.

Nimewakimbia wanawake wengi sana maeneo ya kukutania.

Picha wanazoweka mitandaoni ni tofauti kabisa na walivyo kwenye uhalisia.

Sijui kwa nini wanawake hawajiamni hivi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom