Plan Master
JF-Expert Member
- Jan 1, 2021
- 2,188
- 3,773
Unazingua inatakiwa itangazwe mara tatu ili wale wapingaji wajitokeze.Naolewa kimya kimya mie? Akati harusi itakua ktk Chanel mbali mbali za TV.
JF kutakua na crew yao.
Star km mie, afu kimya kimya? Nani kasema.
