cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,159
- 181,299
Na nishamuachia kina Aunt assu masahani adeveleke nao.Anakupenda sema kina Agrey mabakuli wanamzonga![]()






Nikishapenda huwa nakua sina break, hii misosi hutaki?

Kiasiiiii 🔥🔥🔥🔥.. Jua kali..... Mejja Nipo poaNgoja nika tafute Wi-Fi ya hotelini😂😁
Kachekee kwa shemeji huku unamkuna kitambi chake na kucha zako ndefu za kingoni![]()




hivi huyo shemeji yako ana kitambiii? Mbna sina taarifa? Au niliyekuaga nae ni clone.Ndio nataka iwe official mke awe anakaa hapa hapa



Unamjua dada kyutiii weyeee? Kasambaratisha kikundi uchwaraa na babu yao migambutiiii.Huyu mume mtu ananinyapia balaa, had jikoni kaingia kupika kwaajiri yangu
Ananitafutia maneno na dada yako








Ndio nachotaka sababu nampenda sana

Mejja wa Kenya una msikiliza??
Na nishamuachia kina Aunt assu masahani adeveleke nao.
![]()


Kyuti fundi sana, sema mvivu anaweza kutumia siku nzima kupika
Kakufundisha kyuti kupika?!

hivi huyo shemeji yako ana kitambiii? Mbna sina taarifa? Au niliyekuaga nae ni clone.


Basi tuyajengeNaitaka kaka fanya kunitumia![]()
Nampenda sana na songi zake 😅😅😅😅Mejja wa Kenya una msikiliza??
Unamjua dada kyutiii weyeee? Kasambaratisha kikundi uchwaraa na babu yao migambutiiii.
![]()



Kuna muda hadi naona wivuWee usinambie?![]()
Wewe lazima uwepoWacha wee!!
Harusi tunayo kumbe?
Naomba niwe mwenyekiti wa kamati ya vinywaji![]()