Mention someone without any reason just to disturb them

Mention someone without any reason just to disturb them

Na asu mabakuli ana pua kali ananusa huyo!! Hatajwi lazima ajilete na mabakuli yake.
Anahisi anaibiwa muda wote
nimecheka km chizii, anakaba had penalty.. Woiiiiih.
Afu haogopiii sasa
 
Wee
Atakuwa ndugu na Wagner huyo
Au Alshabab kyuti?
Nimeona wana hasira muda wote, vocha za bure kwishney
vocha za buree wanapataa, si shem wao kwa toleo jipyaa, anawapa kwa muamalaa.

Useme wanalia kisa chimbo LA kupepesuka nalo wamelifyekelea mbali na ukute hawakua na chimbo lingine, mbna kisangaaa.

sisi wengine, JF iko mabegani kila tunapo timba oyaaa oyaaa.
 
Back
Top Bottom