Mention someone without any reason just to disturb them

Mention someone without any reason just to disturb them

Sasa niwe na huzuni na wenzio wanapumuliana km kawaa? Huo muda nautoa wapiii?

Kila mtu anatumia mwili wake atakavyo, na huwezi mpangia. Makasiriko sio shida zangu

Astaghfirullah, midume kwa midume? Dunia imeisha
 
Hiyo ni UONGO

Sema wewe ulikuwa unapapenda daslam, ko MU ilikuwa IDM enzi hizo haikuwa na competition? Ilikuwa mwaka gani
2007 alafu miaka hiyo kama hujaenda UD wewe bado hujaenda chuo kikuu.

Hiyo MU ilikua na kozi chache sana
 
Back
Top Bottom