Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,300
- 96,358
My bro National Anthem,
Bado hutaki kuachana na kyuti? 😂Wala hatupo huko. Hapa nipo namuwaza kyuti
Bond imetengenezwa kwa muda mrefu na kwa gharama kubwa, amesafiri yupo mbali sana ndio namuwaza hapaBado hutaki kuachana na kyuti?
Kwan kakupa nini na mi nijaribu

Lakini si ulisema unanipenda? 😂😂Bond imetengenezwa kwa muda mrefu na kwa gharama kubwa, amesafiri yupo mbali sana ndio namuwaza hapa![]()
Wewe nimeanza kukupenda lakini ukubali kuwa mke mdogoLakini si ulisema unanipenda?
Au na mi nianze kusafiri?
Naanza na safari ya Dom, anza kunipenda sasa.

Akhu! Sitaki kuwa bi mdogo 😂Wewe nimeanza kukupenda lakini ukubali kuwa mke mdogo![]()
Toleo jipya nyoooh
Nani huyo Kwanza,
Kwanza amesoma physics?
Hebu tumuone tumchambue
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app



hata history 1 ya 4m 5 haijui inafananaje.Nafanyaje sasa maana na ww nakuhitajiAkhu! Sitaki kuwa bi mdogo![]()
History 1 na history 2hata history 1 ya 4m 5 haijui inafananaje.
Nichagulie pa kuchekea 🤣🤣🤣Nafanyaje sasa maana na ww nakuhitaji
JikoniNichagulie pa kuchekea![]()
Kheeeh shem umesoma HGL? hongeraa.History 1 na history 2
Hivi unajua advance nilisoma HGL, ilikua surprise kwa jamaa zangu maana walijua ntaenda PCM. Nilikua napenda sana language
History 1 na history 2
Hivi unajua advance nilisoma HGL, ilikua surprise kwa jamaa zangu maana walijua ntaenda PCM. Nilikua napenda sana language


Huu mwaka uishe tyuuh,![]()

Uishe kwa kweli, tusubiri mwingine tuone sijui ndio harusi itafungwa![]()



nasemajeee, harusi ipooonasemajeee, harusi ipooo
