cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,159
- 181,299
Bora umesaidia hapa, hiyo ni sasa hivi sasa piga hesabu miaka hiyo



hatariii sana.Bora umesaidia hapa, hiyo ni sasa hivi sasa piga hesabu miaka hiyo



hatariii sana.Coca kama hutajali umesoma nn na wapi?hatariii sana.
Hata sahivi, km Hujaenda UD, bado hujaenda chuo kikuu, labda wa Afya wao na MUHAS yao.
Ila kwingine, UD ihusike.![]()


Tena we nyamaza kabisaOyaa wewe umezungukwa na michicha kama yote, kwa nn usipeleke huko mahari?




ila shem kwann lakiniii??umeanza😅Oyaa wewe umezungukwa na michicha kama yote, kwa nn usipeleke huko mahari?
Oyaa wewe umezungukwa na michicha kama yote, kwa nn usipeleke huko mahari?



Shem mie sijasoma bhana,Coca kama hutajali umesoma nn na wapi?




Tena we nyamaza kabisa
Uko UD ila weekend unakipeleka kibama MU
Hivi si tuliaga twende tukalale mdogo ake Kyuti




hebu sema kweli, ila chuo ni nyokoo.Bora umesaidia hapa, hiyo ni sasa hivi sasa piga hesabu miaka hiyo

Mlishajimaliza, mm kazi yangu ni ku-press enter buttonumeanza![]()
ila shem kwann lakiniii??


press 'enter' or any key to start gameMlishajimaliza, mm kazi yangu ni ku-press enter button
Sina haraka
Wewe na huyo shem wako kuna kitu mnakitafuta
Mchukue muondoke kashaanza kulewa!!
Kwan mkewe yuko wapi?![]()



yaan niondoke nae, nimpeleke kwa uduguuu angu. Kashalewa huyuuunajua nilishangaa imekuwaje hawa wana hizi tabia, dooh kumbe ndio basi tenaila shem kwann lakiniii??
wee ubaki hapa.

Wanasema usianzishe ugomvi wa mawe ikiwa unakaa nyumba ya vioo
Ngoja nikachekee store
unajua nilishangaa imekuwaje hawa wana hizi tabia, dooh kumbe ndio basi tena
Huyu nae itakua kabakiza kipande kidogo sana kuaga rasmi mashindano




shem umelewa wee, emu lala huko.Na amelewaa haswaaa,Huyo mume wa kyuti ameanza kulewa asije kurusha chupa bure akanibonda nayo![]()




