donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,130
Salam wakuu,
As the title of the top clearly describes itself above, this thread is about us men. Let's share the things ambavyo vinakera ambavyo perhaps umeshawahi kukutana navyo katika mahusiano au umeshuhudia mtu wako wa karibu akifanyiwa ambacho ni kero. As for me, hakuna tabia inayonikera kama ya baadhi ya wanawake kutokua na usiri wa baadhi ya vitu ambvyo vinginevyo ni more private. Forinstance, unakuta mtu una gf wako mnapendana tu fresh lakini kila kitu mnachofanya yaani lazima akawahadithie mashoga zake. Saa zingine mpaka conversation zenu kwa texts anawaonesha wenzake au sometimes anaweza akakuweka kwenye loudspeaker (shit!) Wenzake wakawa wanakuchora. Mimi iliwahi kunitokea nadhani na chat na gf wangu kumpe kampa rafiki yake simu ndo anajibu texts zangu ila baadae nikashtukia chezo kwani kuna baadhi ya vijineno (like code words) ambavyo tulikua lazima tuviongee wakati tunachat hakuweza kuvitambua. Kwa kweli hii ni kero yangu kubwa katika mahusiano, na kero nyingine pia ni kitendo cha wakati mwingine kuingizia story za ex wake (wtf?) Katikati ya maongezi kitu ambacho kinakupa karaha sana. Yeye anadai walisha achana usijali lakini bado ni marafiki (I take this as a dormant volcano kwamba its not dead but rather inaweza one day ikaja ika erupt). Pia kuna swala la kupenda kwenda sawa na marafiki, kuna baadhi ya wanawake wanatabia ya kupenda kushindana na wenzao in terms of dressing, cellphones, bata etc. Ukijaribu kumueleza hali halisi ya baba wa taifa mifukoni kwamba anapumulia oxygen machines inakua ugomvi, viburi vinaanza etc. Je, wewe ume encounter kero gani katika mahusiano?