Mpauko
R.I.P
- Jan 19, 2019
- 2,323
- 3,353
Kwa wanajamiiforum,viongozi na taasisi mbalimbali.
Mimi ni kijana wa miaka 25,mkazi wa Mtwara na nina tatizo katika masikio(hearing impairment)
Ilikuwa mwaka 2004 nilipoamka na kukuta usikivu umepotea na kubaki na usikivu hafifu,hususani katika matamshi ni vigumu kuelewa bila kutumia facial expressions na lips reading.
Pamoja na mambo mengine,nilipata matibabu hositali ya Muhimbili ambapo walinipatia mashine (shimesikio) haikuweza kunisaidia kwani matamshi yalibaki kuwa changamoto bila kutumia facial expressions na lips reading.
Maisha ya shule yalikuwa na changamoto nyingi sana kwani nilisoma shule ya kawaida (Shangai Primary) hatimaye nilihitimu 2009 na kuchaguliwa kidato cha kwanza.
Mwaka 2013 nikahitimu kidato cha nne (Bright Angels Secondary) kutokana na changamoto nyingi sikupendelea kwenda kidato cha tano,hivyo nikajiunga na STEMMUCO,Mtwara kusoma Business administration.
Vijembe,dharau,kejeli na maneno ya hovyo vilifanya maisha yangu chuoni kuwa magumu mno ukizingatia mtindo wa ufundishaji vyuoni (leicture hall) haukuwa rafiki kwangu kwani sikuweza kuelewa chochote hii ikanifanya kutumia nguvu nyingi kutafuta notes na kujisomea mwenyewe.
Niliponaliza certificate nilikata tamaa ya kuendelea na masomo kwani ilikuwa vigumu kupitisha siku bila kukumbana na vijembe,kejeri na dharau toka kwa wanachuo na leicturer kutokana na hali ya kutosikia.
Mwaka 2016 kupitia stori ya dada mmoja kiziwi (Aneth Gerana) na mwingine ambaye alipatwa na ajali akiwa katika mahafali na kupooza(nimemsahau jina) nilipata motive sana ya kukaza moyo na kuendelea na masomo.
Hivyo nikajiunga na mafunzo ya ualimu Grade A na kuhitimu mwaka 2018(ST.Bernad TC).
Ingawaje nilihitimu lakini nilimaliza kwa neema tu,kwani sikumudu kulipia ada tena,nilibaki na deni la T.shs 1,160000/=,nikajiapiza kufanya vibarua kwa bidii ili nikomboe cheti changu.
Nikarudi nyumbani na kuanza kutafuta vibarua,mambo yalikuwa tofauti na matarajio yangu.
Hali ya usikivu hafifu ikawa fimbo yangu mwenyewe,nilizunguka huku na huko bila mafanikio kwani waajiri hawakuwa tayari kunipa ajira wala majaribio achilia mbali vibarua vidogovidogo.
Kwa miezi nane nilizunguka huku na huko bila mafanikio,hata volunteer (kujitolea) walikataa hivyo ikabidi nikae chini kubuni cha kufanya ili nijikwamue kwani afya yangu ilianza kuwa tete kutokana na ukosefu wa mlo wa kutosha(mara nyingi ni mlo mmoja kwa siku)
Kupitia jamiiforum nilipata ufahamu kidogo,nikaenda manispaa kujaribu kuomba msaada,hatimaye baada ya danadana nyingi,nikaenda ofisi ya DC.
Nako hakukuwa na matokeo mazuri sana zaidi ya kupewa kibali cha kuchangisha na najaribu.
Hivyo basi,ninaomba kwa yeyote mwenye uwezo wa kunisaidia asisite kufanya hivyo.
Najaribu kukomboa vyeti vyangu ili niweze kuvitumia kuombea ajira niweze kujikwamua kimaisha kupitia ajira maalumu za serikali.
Vilevile kwa mwenye kuweza kunisaidia wazo la biashara nayoweza kuifanya nikiwa na hali hii.
Naomba anayeweza kunisaidia mtaji wa biashara.
Kwa mawasiliano 0677421378Tigo
NAOMBA RADHI KWA WATAKAUCHUKIZWA NAMI PLEASE GO EASY ON ME.
manengelo
Avriel
MKUU WA KAYA
Maxence Melo
Paddy
kaburungu
copyright
moyes

Daah! Haya maisha bwana, mi yanaelekea kunishinda! Hivi ni sumu gani inaua haraka bila mateso?
Aaah haya maisha bwana mi yanaelekea kunishinda kabisa. 25 yrs bila happiness na bado kuna kiza! Muda wa kujaribu upande wa pili sasa! Hivi ni sumu gani inaua bila mateso na kwa uhakika?
www.jamiiforums.com
Mradi wangu umefeli, hivyo hii nadharia ni sahihi au tuipuuze?
Habari wanajf.. Leo nahitimisha rasmi kuwa nadharia ya ANZA NA ULICHONACHO siyo sahihi baada ya mradi wangu kufeli. LENGO:kuzalisha vifaranga 30 kwa kutumia mitetea 3 MRADI:UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI Mradi wangu niliazimia kuanza namitetea mitatu ambayo niliitunza na kuiandaa kwa ajili hiyo...
www.jamiiforums.com
Naomba msaada wa kuanzisha mradi huu
Habarini ndugu zangu! Nichukue nafasi hii kutoa dukuduku langu. Mimi ni kijana wa kiume umri wangu ni miaka 24 sasa, naishi Mtwara mjini na ni Kiziwi(si wa kuzaliwa nilipata tatizo hli mwaka 2004 nikiwa darasa la tatu). Elimu yangu ni mhitimu wa ualimu grade A, 2018. Kwa sasa najitolea...
www.jamiiforums.com
Je! Nawezaje pata cheti changu? Na ungekuwa wewe ungefanyaje?
Habarini wakuu? bila kupoteza muda tujikite kwenye mada, wakuu naishi Mtwara japo ni mzaliwa wa Iringa,miaka 24 iliyopita na nimehitimu mafunzo ya ualimu Grade A mwaka 2018. Mwaka juzi nikiwa nipo chuoni mzee wangu ambaye ndie mtegemezi pekee wa familia yetu alifukuzwa kazi (alikua ni...
www.jamiiforums.com
Kwanini wanaotangaza nafasi za ajira za kazi akiomba mlemavu inakuwa ngumu kumpa kazi?
Habari wakuu! Kweny mabosi iwe bosi ofisini au hata bosi wa houseboy au housegirl! NAtaka kujua hivi kwanini mnafanyaga hivi? Na huwa mnajisikiaje kufanya hivi? Unakuta mtu ana nafasi ya kazi au ameitangaza na mhitaji anaiomba na au mwajiri huyohuyo anamuona huyo kijana mhitaji anaamua kumpa...
www.jamiiforums.com
Kwa wenye huruma tu! Nahitaji ajira niweze kuishi
Habarini wakuu! Mimi ni kijana wa miaka 24 ,Naishi Mtwara kwa sasa.Ni kiziwi nilipata hili tatizo nikiwa darasa la pili mwaka 2003. Nasikia na kuzungumza na mtu vizuri tukiwa jirani tukitazamana(facial language na lips movement) Nimehitimu mafunzo ya ualimu mwaka 2018 (GPA 3.7) pia nina...