Hawa wote ni makada wa CCM na wamenufaika sana na ukada wao. Sitashangaa kama hawataitwa pembeni na kuambiwa waache mchezo wa kitoto. Sitashangaa kusikia kuwa Mengi na Rostam wakitoa joint statement wakisema haya yote yalichochewa na mkono wa tatu. Mengi atafuta kesi na Rostam ataondoa vielelezo vyake au Takukuru watasema tu hakuna ushahidi! Mwaka 2010 wote kwa pamoja watazunguka nchi nzima kumnadi mgombea wa chama chao! Na nyie mliotegemea makubwa mtabaki kugunia chini chini!
Amandla.......
bwuaahahahahahahawala usijibane jiachie mzazi.
bwuaahahahahahaha
teh teh teh toh tih tih
koh! koh!
ops!
wewe unamjua mmoja wapo au umeshamsikia popote mtendaji yoyote?
Inakukera wewe. Tuachie sisi tunaotaka kupata nyzi za nyumbani. Inaelekea mwenzetu uko karibu na source.................!!!!!!!Ndugu tabia ya kukopi kwenye magazeti inakera? ,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
Hawa wote ni makada wa CCM na wamenufaika sana na ukada wao. Sitashangaa kama hawataitwa pembeni na kuambiwa waache mchezo wa kitoto. Sitashangaa kusikia kuwa Mengi na Rostam wakitoa joint statement wakisema haya yote yalichochewa na mkono wa tatu. Mengi atafuta kesi na Rostam ataondoa vielelezo vyake au Takukuru watasema tu hakuna ushahidi! Mwaka 2010 wote kwa pamoja watazunguka nchi nzima kumnadi mgombea wa chama chao! Na nyie mliotegemea makubwa mtabaki kugunia chini chini!
Amandla.......
Kwa sababu Kikwete ameshusha kipimo hadi chini kabisa (zero %), serikali ya Mbowe (au Lipumba) ingekuwa bora zaidi ya iliyopo (1-100%).
- Wa-Tanzania, tufike mahali tusikubali kudanganywa anytime unapoona kuna mtu au kiongozi anadai serikali au rais aingilie kati hili soo maana yake ni moja tu kwamba anataka Rostam aokolewe, ndio maana tunasema serikali na rais wakae pembeni, kwa sababu hakuna sheria iliyovunjwa so far Mzee Mengi kumtwanga Rostam na yeye kujibu, na sasa mahakama na Takukuru, ingawa ni fair kumuuliza Rostam kwa nini ameenda Takukuru badala ya mahakamani? Hili ni swali zito sana wananchi tunatakiwa kujiuliza WHY Takukuru? Kuna nini huko?
- Kuitwa pembeni it is too late, na Mengi akikubali kuitwa pembeni ajue he is done(FINITO), maana the next thing watamchezea karata chafu sana kama walizomchezea DK. Salim kwenye uchaguzi wa 2005, sasa hivi Rostam na wapapmbe wake wamepagawa hawaamini, kwamba the mighty Rostam is in trouble, yes he is in trouble kwa sababu the more this war inaendelea kama ilivyo sasa ni more wananchi watajiunga na Mengi, huhitaji kuwa professor wa siasa kuelewa hili, The genius Rostam alikosea pale tu alipokubali kujitokeza Kempiski, ninasema hivi kwa mara ya kwanza toka aanze kuchanganya siasa na biashara he is in trouble tena big time, enzi zake rais angemuita Mengi na kumtuliza lakini not anymore, infact alikuwa amebanwa sana na Mengi kwamba akajaribu kuwatumia CC, huko wamemtolea nje sasa tuone kama Takukuru wana ubavu wa kumuosha, ananuka!
- Ya kuitwa pembeni Mengi asikubali ng'o! Akikubali tu ameisha na maji, Rostam hana ubavu tena, hata huko Mtandao ni Karamagi ndiye anaye-run the show anyways kwa sababu hawawezi tena ku-afford kuongozwa na a high profile na political liability kama Rostam, mambo yao huko gizani hufanikiwa wanaposhughulika bila kuonwa yaani chini ya radar, kwa hiyo hata huko sio siri nao wameshafika mwisho naye, mimi ninasema hivi ukimshika Rostam basi umekamata kichwa cha nyoka, akibanwa sana tutapata majibu ya maswali yote muhimu sana kwa mabadiliko ya taifa hili,
Huyu ndiye chanzo cha ufisadi wote nchini, majibu kama ya ufisadi wa Mkapa na Balali, yote anayo huyu, Mengi asikubali idea ya kuitwa pembeni akiendelea naye kwenye sheria, pole pole wananchi tutajiunga na hivi vita ndipo Rostam ataelewa kwamba kila chenye mwanzo hakikosi kuwa na mwisho, na hasa ufisadi! amani ya taifa letu iko sawa sana tena kuliko wakati wowote tuwe na uhuru, hii ishu iachwe itajifungua na kujifunga yenyewe, so far haijavunjwa sheria yoyote ya jamhuri!
Respect.
FMES!
Mengi ni mfanya biashara kwanza kabla ya yote. Mengi anajua ni upande upi silesi yake imepakwa siagi. Huyu amehangaika sana kuhakikisha chama chake kinashika utamu. Mnaamini kweli ataukata mti alioukalia kwa ajili ya faraji ya muda mfupi? Mpaka sasa hakuna mahali amekosoa chama au serikali yake. Mnadhani amefanya hivi kwa sababu anaamini vyombo vyote hivi ni visafi kabisa kabisa? Halafu leo mnataka kutuaminisha kuwa ati yuko tayari kuleta ushahidi ambao unaweza kuangusha serikali ya chama chake? Thubutu!
Mzee Mwanakijiji, FMeS na wengine. Mmefunga tela kwenye gari bovu.
Amandla.......
Nimependa mtazamo huu..U know what?..ndio ukweli, mashua inasonga mbele..Mtu anapiga kasia kwenye maji mpaka urefu wa kasia tu.. - MM Original.
Mkuu labda hufahamu ya kwamba hakuna ushahidi wowote unaohusiana na kesi yoyote ambao haujapelekwa serikalini. Toka ujenzi wa BoT (twin Tower), wizi wa fedha za EPA, rada, IPTL, Kagoda TISS na mengineyo yote ushahid upo tayari mikononi mwa serikali isipokuwa vyombo hivyo vimeacha kusimnamisha madai ya wananchi.Watanzania wameshoshwa na kauli zinazomuhusisha Rostam Aziz na hujuma kwa maslahi ya Taifa na wangependa kuona anatokea mtu mwenye uwezo wa kutowa ushahidi wa hujuma zake na kumfikisha katika vyombo vya sheria. Hili la kutaka billioni tano na nusu kwa madai ya kukashifiwa na kuacha kile kilichotarajiwa na wananchi ni kitendo cha ubinafsi ambao mtu aliejitangaza kuwa mpiganaji wa ufisadi hakimfai kukifanya.