Madela Wa- Madilu
JF-Expert Member
- Mar 24, 2007
- 3,063
- 744
Wana JF,
Kumbe hata CCM yenyewe kuna watu wana WIVU? Kibaya zaidi ni kwamba hata Mawaziri wenyewe wa CCM, wanawivu saaana. Wanamuonea WIVU Masha na huo wivu ni wa waziwazi. Wanashindwa kuamini kuwa mwenzao, kasoma USA, akaja UDSM akaitwa Mmarekani mweusi. Akarudi USA na kufanya Master. Akawa aajiriwe World Bank ila akaghaili. Kaja kafanya kazi mbili tatu na mara huyoooo, kawa waziri akiwa na miaka 38 tu. Mawaziri wa CCM donge hilooo. Wakaamuwa kumrekodi kwenye kikao na kumpa tape Mengi. Shame on you Mawaziri mliomrekodi mwenzenu na tape kumpa Mengi. Mnaona WIVU kuwa mwenzenu kafanikiwa akiwa kijana namna hiyo, ana kampuni ya Uwakili, mbunge na katembea sana tu dunia hii. Nyie mmesoma kwa mbinde, km 10 kwenda shule (kupiga umande) na jioni kumi kurudi nyumbani. Mkaenda Secondary, JKT (kuruta nyie) na baadaye ndiyo Chuo kikuu. Mkimuona Masha DONGE hiloo hadi mnashindwa kuhema. Muone AIBU. Watu wazima kumfanyia mwenzenu huo mchezo. WIVUUU Mbaya!!!!
NB: Sina mapenzi naona, INGAWA MACHO SINAA!!!
Wewe, hujatukana mawaziri wa CCM tu, umetutukna watu wote tuliosoma kwa kupiga umande. Mimi naona umetuvunjia heshima watu wote tulio kwenda JKT na kusota mwaka mzima, ili wale wote waliokacha kwa sababu baba zao wana sauti serikalini waendelee kupeta.
Unachokionyesha hapa ni Utamaduni wa kifisadi ambao nadhani ndiyo ulio kulea.Walikuwepo maelfu ya watoto Mahillsiders waliokacha kwenda JKT siyo kwa sababu ya ujanja ila ni kwa sababu za kifisadi. Leo hii unatuonyesha kwamba kuto kwenda JKT ulikuwa ujanja?
Utetezi ulioutoa juu ya Masha hauna msingi na zaidi umejaa dharau na zaidi hoja yako inaunga mkono umoja na mshikamano wa uovu ndani ya CCM.
Kuhusu hilo la Mafisadi kugeuziana vibao wenyewe kwa wenyewe hilo siingilii kwa sababu ni sehemu ya utamaduni wao kulana mikia ndani ya CCM.
Kama anayeliwa mkia sasa hivi ni Masha kisha atafuata Nchimbi hilo ni tatizo ndani ya CCM.
Wewe, hujatukana mawaziri wa CCM tu, umetutukna watu wote tuliosoma kwa kupiga umande. Mimi naona umetuvunjia heshima watu wote tulio kwenda JKT na kusota mwaka mzima, ili wale wote waliokacha kwa sababu baba zao wana sauti serikalini waendelee kupeta.
Unachokionyesha hapa ni Utamaduni wa kifisadi ambao nadhani ndiyo ulio kulea.Walikuwepo maelfu ya watoto Mahillsiders waliokacha kwenda JKT siyo kwa sababu ya ujanja ila ni kwa sababu za kifisadi. Leo hii unatuonyesha kwamba kuto kwenda JKT ulikuwa ujanja?
Utetezi ulioutoa juu ya Masha hauna msingi na zaidi umejaa dharau na zaidi hoja yako inaunga mkono umoja na mshikamano wa uovu ndani ya CCM.
Kuhusu hilo la Mafisadi kugeuziana vibao wenyewe kwa wenyewe hilo siingilii kwa sababu ni sehemu ya utamaduni wao kulana mikia ndani ya CCM.
Kama anayeliwa mkia sasa hivi ni Masha kisha atafuata Nchimbi hilo ni tatizo ndani ya CCM.
1-Ninavyofahamu Waziri Masha ni mwanasheria mahiri na kijana msomi pamoja na kuwa na kasoro zake za kibinadamu kama tulivyo binadamu wote kwa hiyo je, kisheria alikuwa sahihi kutoa majibu aliyoyatoa kwa waandishi wa habari?
2-Kwa ninavyofahamu Masha ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, wizara ambayo chini yake kuna Jeshi la Polisi, Magereza na Uhamiaj kwa hiyo ninajiulizai, je, hoja ya Mengi ilikuwa inahusu maeneo yaliyo chini ya wizara yake? Kwa kuanzia polisi wanashughulikia makosa ya jinai ina maana kauli ya Mengi ina jinai?
3-Kama kuna jinai inaangukia katika sheria gani? maana kasema kuna waziri kijana amependekeza abambikiwe kesi na hajasema serikali imeamua/imekubaliana/imepokea ushauri kwa hiyo hata huo ushauri haifahamiki kama umekubaliwa ama ulikataliwa.
4-Waziri Masha kasema kwamba asipotoa ushahidi baada ya siku saba sheria itachukua mkondo wake, sheria ipi? Sheria ya Uhaini? Uchochezi? Kashfa? kusema uongo?
....huo wivu ni wa waziwazi. Wanashindwa kuamini kuwa mwenzao, kasoma USA, akaja UDSM akaitwa Mmarekani mweusi. Akarudi USA na kufanya Master. Akawa aajiriwe World Bank ila akaghaili. Kaja kafanya kazi mbili tatu na mara huyoooo, kawa waziri akiwa na miaka 38 tu.
.... Mnaona WIVU kuwa mwenzenu kafanikiwa akiwa kijana namna hiyo, ana kampuni ya Uwakili, mbunge na katembea sana tu dunia hii. Nyie mmesoma kwa mbinde, km 10 kwenda shule (kupiga umande) na jioni kumi kurudi nyumbani. Mkaenda Secondary, JKT (kuruta nyie) na baadaye ndiyo Chuo kikuu. Mkimuona Masha DONGE hiloo hadi mnashindwa kuhema. Muone AIBU. Watu wazima kumfanyia mwenzenu huo mchezo. WIVUUU Mbaya!!!!
Waliokaa, wakasoma na wakatafakari aliyosema Sikonge bila shaka wamejifunza mengi tu.Kuna kitu nimejifunza hapa jamvini nilikuwa sikijui, na hiyo post yako Sikonge ni exhibit A ya swala hilo.
Wengi tunaopiga kelele kupinga ufisadi tunaambiwa tunasukumwa na wivu. Ghafla neno wivu imekuwa silaha wanayotumia wezi na walevi wa madaraka kujihami wakiungwa mkono na wapiga debe waoKumbe maishani ukiwa na issues na mtu mwenye mafanikio, cheo, elimu, hela, na kadhakika, ukimkosoa tu, utaonekana una wivu. Hilo kwa kweli nilikuwa silijui kabisa.
Hakika inachekesha eti umwonee wivu mtu ambaye humjui wala hakujui -kisa ? Naamini mtu anayevurunda kama anavyofanya Masha ni wa kuhurumiwa na kamwe si kuonewa wivu. Mbio za watu wa aina hiyo ni fupi na zinakuwa tishio tu kwa wanaoishi kwa kutegemea fadhila zao.Kwa mfano, wengine tumeambiwa tuna wivu dhidi ya mafanikio ya Masha. Wakina Fundi Mchundo na wengine wengi humu wameambiwa hayo hayo. The thing is, though, hujui huyo Fundi Mchundo ana mafanikio au failures gani za kumfanya amuonee wivu Masha. (Fundi nisamehe kukutumia kama mfano maana na wewe, kama mimi na baadhi ya wengine, umeambiwa una wivu.)
Ushikaji saa nyingine ukitangulizwa sana unadumaza upeo wa mtu kufikiri na kupambanua mambo. Mtu zima unakuta unatetea hata kile kisichohitaji utetezi - self evident. Halafu wanaojaribu kukuweka sawa unasema wana wivu - how low can one get.Halafu sio kila mtu anataka kuwa Waziri kama Masha. Waziri katika serikali ya mafisadi is not a very cushy job, I don't think.
Come easy, go easy. Degree mbili zinazomtuma mtu kuongea upupu kama anavyofanya Masha, katu hazitufai. Hivi sasa Tanzania tunaanza tabia ya ku'tolorate' tabia za ajabu kama za kuwaenzi wezi na wahujumu wa taifa. No, this has to stop.Kingine, Masha sio wakili mwenye mafanikio peke yake, au kiongozi mwenye degree mbili. Cha ajabu cha kuonewa Masha wivu ni nini hasa? Kusoma na kuishi Marekani ? Kusoma kasoma sana, lakini jamani ni nini alichosomea Masha kuonea wivu, Masters ya Georgetown ? Hata Sumaye and Masters ya Harvard, nini Georgetown. Au kuishi huko US ? Marekani hata khalagabaho kaa mimi naishi. And, believe you me, it ain't no seventh heaven, it's a nightmare, as Malcom X used to say. We huoni Masha mwenyewe aliingia mitini kurudi UDSM ?
BWM mwenyewe aliwahi kuwa Marekani tena kwa wadhifa mzito tu - balozi. Aliporudi na kuchaguliwa kuwa Raisi alianza kufanya mambo ya ajabu ajabu. Tulipopiga kelele tukaambiwa tuna wivu wa kike na wana habari walipoanza kudadisi wakaambiwa ni wavivu wa kufikiri. Masikini BWM siku hizi anatafuta pa kuficha uso wake, lakini angalau aliuonja Uraisi. Sasa huyu Lau aonewe wivu kwa kitu gani - eti anaota Ikulu - thubutu !Wanasema alipokuwa UDSM alikuwa anaitwa Mmarekani, well, kama kukaa Marekani kunapandisha chati mbona alinyuti ? Ngoma yake ilikuwa ngumu nini ? Sioni cha kumuonea wivu Masha mimi.
Kwa ya ku'dodge' JKT hana sifa ya kuwa waziri kwa sababu alionyesha wazi hana uzalendo. Halafu hii inaonekana wazi kabisa kwa kuthubutu kusuka mpango wa kumhujumu mzalendo - kwenye vikao vya siri. Huyu si wa kuonewa wivu, ni wa kuzomewa.Na tuwezi kumuonea wivu Masha eti kwa sababu tuna uchungu yeye hakwenda JKT . No, yeye ali dodge National Service!! National Service ile badge of honor! Huyo Masha mwenyewe naamini anajuta saa hizi ndani ya moyo wake kwa kutoonyesha uzalendo. Hana cha kuonewa wivu hapo Masha kwa ku dogde JKT.
Wapemba hujuana kwa vilemba. Masha ameshaingia kwenye 'hall of fame' ya viongozi wabovu Tanzania na tayari ananuka ufisadi na hata akisafishwa kwa 'perfumes of Arabia" hawezi kutakata.Na hata huo uwaziri, kusema tunamwonea wivu waziri kijana, uwaziri sio achievement ya kujivunia saaaana kwa sababu ni cheo cha kupewa tu. Sio bootstrap achievement, sio jasho lako linalokupa uwaziri necessarily, sio umaridadi wako kikazi. Hata mimi nisiyejua kitu ningekuwa najuana na Kikwete toka kwenye mizunguko yake ya usiku vilabuni toka wakati Kikwete yuko Naibu Waziri labda na mimi leo hii ningeukwaa uwaziri.
Ni wa kuzomewa kama walevi wa madaraka wenzake na tutazidi kumbana mpaka kieleweke na simwonei wivu - labda huruma.Masha hana cha kuonewa wivu. At least mimi sikioni.
Waliokaa, wakasoma na wakatafakari aliyosema Sikonge bila shaka wamejifunza mengi tu. Wengi tunaopiga kelele kupinga ufisadi tunaambiwa tunasukumwa na wivu. Ghafla neno wivu imekuwa silaha wanayotumia wezi na walevi wa madaraka kujihami wakiungwa mkono na wapiga debe wao
Hakika inachekesha eti umwonee wivu mtu ambaye humjui wala hakujui -kisa ? Naamini mtu anayevurunda kama anavyofanya Masha ni wa kuhurumiwa na kamwe si kuonewa wivu. Mbio za watu wa aina hiyo ni fupi na zinakuwa tishio tu kwa wanaoishi kwa kutegemea fadhila zao.Quote:
Ushikaji saa nyingine ukitangulizwa sana unadumaza upeo wa mtu kufikiri na kupambanua mambo. Mtu zima unakuta unatetea hata kile kisichohitaji utetezi - self evident. Halafu wanaojaribu kukuweka sawa unasema wana wivu - how low can one get. Come easy, go easy. Degree mbili zinazomtuma mtu kuongea upupu kama anavyofanya Masha, katu hazitufai. Hivi sasa Tanzania tunaanza tabia ya ku'tolorate' tabia za ajabu kama za kuwaenzi wezi na wahujumu wa taifa. No, this has to stop.
BWM mwenyewe aliwahi kuwa Marekani tena kwa wadhifa mzito tu - balozi. Aliporudi na kuchaguliwa kuwa Raisi alianza kufanya mambo ya ajabu ajabu. Tulipopiga kelele tukaambiwa tuna wivu wa kike na wana habari walipoanza kudadisi wakaambiwa ni wavivu wa kufikiri. Masikini BWM siku hizi anatafuta pa kuficha uso wake, lakini angalau aliuonja Uraisi. Sasa huyu Lau aonewe wivu kwa kitu gani - eti anaota Ikulu - thubutu !
Kwa ya ku'dodge' JKT hana sifa ya kuwa waziri kwa sababu alionyesha wazi hana uzalendo. Halafu hii inaonekana wazi kabisa kwa kuthubutu kusuka mpango wa kumhujumu mzalendo - kwenye vikao vya siri. Huyu si wa kuonewa wivu, ni wa kuzomewa. Wapemba hujuana kwa vilemba. Masha ameshaingia kwenye 'hall of fame' ya viongozi wabovu Tanzania na tayari ananuka ufisadi na hata akisafishwa kwa 'perfumes of Arabia" hawezi kutakata. Ni wa kuzomewa kama walevi wa madaraka wenzake na tutazidi kumbana mpaka kieleweke na simwonei wivu - labda huruma.
tunasema hivi kiongozi yoyote ashambuliwe kwa shutuma zilizo na ukweli, kuna wakati alishambuliwa Mwenyekiti wa Chadema kwa maneno ya uongo wa kupindishwa kwa makusudi kuhusu shule yake UK, kwamba anafanyiwa mitihani na Balile, tulisema kuwa ule ni wivu wa binafsi,
- Kuna wakati ameshambuliwa Zitto hapa kwa makusudi kwa kupindishwa ukweli, tulisema kuwa ni wivu wa binafsi, na kuna wakati zililetwa article za kumchafua Dr. Slaa na Mbowe tena kwa makusudi mazima, tuliomba ziondolewe hapa JF haraka sana, kwa sababu zilikuwa ni uzushi na uongo uliochongwa kwa makusudi na at best ni wivu tu wa binafsi,
- Tuliyasema haya against wananchi wengi hapa waliokuwa hawakubaliani na mawazo yetu hapa na haikuwa tatizo, sasa tunasema tena kwamba waziri wa ndani ashambuliwe kwa makosa aliyokwisha yafanya na yanakubalika kua ni ya kweli lakini kupindisha ukweli kwa makusudi ili kumchafua ndio tunaita kama vile kule nyuma kua ni wivu wa binafsi, na it has nothing to na wasiokubaliana na mawazo yetu on the ishu.
- Tunajaribu sana kupata ukweli wa ishu maana kuna habari nyingi sana, ingawa Halisi leo ametoa maneno mazito sana kuhusu the ishu ninayakubali as ukweli wa ishu, lakini ninatofautiana naye on one thing only, namna ya kuimaliza ishu, maana tungependa sheria ifuate mkondo na kama waziri amekosea basi ajiuzulu kama alivyoahidi na sheria iangaliwe kama imevunjwa na matendo yake katika ku-deal nayo, na kama Mengi amekosea sheria ichukue mkondo pia,
- Mind you tunazo dataz za kutosha kuhusu ushahidi alionao Mengi, yaani tepu yenye maneno ya waziri mmoja kama anavyodai hilo leo ninalithibitisha kua halina ubishi na jina la waziri tunalo tayari, na tepu nyingi nyingine mojawapo ikiwa ya Makamba, naye akijaribu kushauri uvunjwaji wa sheria, sasa tunazo dataz za kutosha kuhusu tepu zote alizonazo na zilivyopatikana.
- Habari iko wazi kwamba kama Mengi asinge-act kwanza huyu waziri angemmaliza, sasa ndio maana tunasema ishu iende kwenye sheria, ili sheria ichukue mkondo na sio siri tena waziri anayehusika is in big shit. Tumeonywa sana kutosema majina ya wahusika wa hii ishu, lakini ninasema hivi tumewafahamisha wahusika kuwa kama ukweli haukuwekwa hadharani when the times come, tutayaweka yote nje kama yalivyo!
Thanxs!
je ni masha umteteaye?? kama tape umeisikia..........
Mimi naona hii saga ni fundisho kwetu na inaonyesha wa kufanya mabadiliko katika utendaji wetu wa kazi. Napendekeza yafuatayo:
1) Tuondoe neno nyeti za serikali katika msamiati wetu. Mikutano na vikao vyote vya serikali (katika ngazi zote) viwe na "minutes". Minute hizo zihifadhiwe na iwe ni haki ya raia yeyote kuweza kuzipitia. Maombi haya yanaweza kukataliwa pale tu itakapoonekana kuwa masuala yaliyodaliwa yanahusu usalama wa taifa. Hii itabidi ielezwe bayana na tafsiri ya "usalama wa taifa" uwekwe wazi. Kumbukumbu hizo ziwe zinapitiwa kila baada ya miaka kumi kuangalia kama kweli bado zinastahili kufichwa kutokana na sual a la usalama wa taifa.
2) Uteuzi wa mawaziri na viongozi wote wa juu wa serikali upate baraka za bunge. Naamini kwa wakina Kuhani hiki kinaitwa confirmation hearing. Mtu aliyeteuliwa kwanza ahojiwe na kamati ya bunge inayohusiana na uteuzi huo ambapo utendaji wake mpaka wakati huo ( kama ni mfanya biashara, potential conflict of interest, mafanikio yake n.k), qualifications zake ( shule na shahada alizokuwa nazo. Hii hasa ni kuangalia uhalali wake na si vinginevyo), masuala yake ya binafsi ambayo yanahusu utendaji wake ( mlevi, ufuska n.k.) vitajadiliwa na akionekana anafaa ndiyo apelekwe kwenye bunge kamili.
3) Bunge liwe na mamlaka ya kumuita na kumhoji waziri au mtenda mkuu yeyote kuhusu utendaji wake wakati wowote itakapobidi.
4) Mawaziri wasiwe wabunge waliochaguliwa aidha jimboni au sehemu fulani ya jamii ( wakina mama na walemavu). Hii itapunguza uwezekano wa waziri kupendelea constituency yake katika utendaji wake. Waziri akumbuke kuwa anawajibika kwa nchi nzima na si jimbo lake tu au chama chake.
4) Kwa kufanya hivi, mawaziri wetu watakuwa ndiyo watendaji wakuu wa wizara wanazoongoza. hii itaondoa mkanganyano uliopo sasa juu ya mipaka ya waziri na Katibu Mkuu.
Mfumo tulionao ambao ni nchi nyingi tu unautumia unahitaji upinzani na public media iliyopevuka ili i-provide checks and balances kwa utawala. Kwa bahati mbaya nchi yetu bado hatujafika hapo. Pengine huu wa wamarekani unaweza kutufaa zaidi.
Amandla.......
ES unatumia nguvu kweli kumtetea Lau...lakini angalia mwishoni usije ukaficha kichwa chako kwenye mchanga kama mbuni.
Hutaki kabisa kukubaliana na ukweli licha ya wazee wa data kukumwagia lakini hutaki kabisa unapiga bla bla bora uingie mitini uache twendelee kumgalagaza boss wako mpaka JK ampige chini.Kesha chafuka yule hasafishiki hata kwa maneno ya aina gani hawezi kutakata labda amwombe Makamba amsaidie kumsafisha.
Nipo ukurasa mmoja na Mkuu FMES,Atakayeangukia Pua ni Mzee Mwanakijiji.Makala yake ya jana Tanzania Daima(iko mtandaanoni sasa) kaeleza mambo mengi sana ambayo hayana uhusiano wowote na hoja ya masha.Ni sawa sawa ugombane na mke wako na uanze kukumbusha makosa yote aliyowahi kufanya huko nyuma.
Je tukianza kutumia makosa ya watu waliyofanya nyuma watu wnenye historia mbaya kama Mwenyekiti wa Chama kimoja cha siasa watabaki?I have already said mie siko kwa Mzee wa IPP hata siku mmoja na inaniekera sana tabia yake ya kuanza kulia lia anapoona mambo yanamwenea vibaya
Nipo ukurasa mmoja na Mkuu FMES,Atakayeangukia Pua ni Mzee Mwanakijiji.Makala yake ya jana Tanzania Daima(iko mtandaanoni sasa) kaeleza mambo mengi sana ambayo hayana uhusiano wowote na hoja ya masha.Ni sawa sawa ugombane na mke wako na uanze kukumbusha makosa yote aliyowahi kufanya huko nyuma.
Je tukianza kutumia makosa ya watu waliyofanya nyuma watu wnenye historia mbaya kama Mwenyekiti wa Chama kimoja cha siasa watabaki?I have already said mie siko kwa Mzee wa IPP hata siku mmoja na inaniekera sana tabia yake ya kuanza kulia lia anapoona mambo yanamwenea vibaya
Kuna kitu nimejifunza hapa jamvini nilikuwa sikijui, na hiyo post yako Sikonge ni exhibit A ya swala hilo.
Kumbe maishani ukiwa na issues na mtu mwenye mafanikio, cheo, elimu, hela, na kadhakika, ukimkosoa tu, utaonekana una wivu. Hilo kwa kweli nilikuwa silijui kabisa.
Kwa mfano, wengine tumeambiwa tuna wivu dhidi ya mafanikio ya Masha. Wakina Fundi Mchundo na wengine wengi humu wameambiwa hayo hayo. The thing is, though, hujui huyo Fundi Mchundo ana mafanikio au failures gani za kumfanya amuonee wivu Masha. Hivi unapomsoma mtu kama Mchundo hapa unaona kweli ni failure maishani ? Kwamba ni jinga moja halikwenda shule lilikimbia umande kweli, kama anavyosema ? Unaona anaandika kama mtu ambae hana elimu kweli? Please!! Anaweza kuwa anaendesha baikeli kama anavyosema lakini ni kwa sababu anataka tu. Mtu mwenye kichwa ka Fundi akitaka kigari hawezi kushindwa. Na inawezekana analo au anayo mengi tu, ila tunazugwa tu hapa, ni mtu mwenye humility na modesty ya kutotaja mashangingi yake hapa. Humility comes before honor, wanasema, na ndio ninachokiona kwa huyu na wengi wa hapa. Huyu hawezi kutishwa na "mafanikio" ya Masha!!! Na ndio maana sio lazima asema anamjua Masha, sijui kamwendesha kwenda mitihanini na Airport kama Field Masha anavyomfanyia Lau Masha, and all that obsequious gibberish! (Fundi nisamehe nimechukua liberty kukutumia kama mfano maana na wewe, kama mimi na baadhi ya wengine, umeambiwa una wivu.)
Halafu sio kila mtu anataka kuwa Waziri kama Masha. Waziri katika serikali ya mafisadi is not a very cushy job, I don't think.
Kingine, Masha sio wakili mwenye mafanikio peke yake, au kiongozi mwenye degree mbili. Cha ajabu cha kuonewa Masha wivu ni nini hasa? Kusoma na kuishi Marekani ? Kusoma kasoma sana, lakini jamani ni nini alichosomea Masha kuonea wivu, Masters ya Georgetown ? Hata Sumaye ana Masters ya Harvard, nini Georgetown. Au kuishi huko US ? Marekani hata khalagabaho kaa mimi naishi. And, believe you me, it ain't no seventh heaven, it's a nightmare, as Malcom X used to say. We huoni Masha mwenyewe aliingia mitini kurudi UDSM ? Wanasema alipokuwa UDSM alikuwa anaitwa Mmarekani, well, kama kukaa Marekani kunapandisha chati mbona alinyuti ? Ngoma yake ilikuwa ngumu nini ? Sioni cha kumuonea wivu Masha mimi.
Na hatuwezi kumuonea wivu Masha eti kwa sababu tuna uchungu yeye hakwenda JKT . No, yeye ali dodge National Service!! National Service ile ni badge of honor! Huyo Masha mwenyewe naamini anajuta saa hizi ndani ya moyo wake kwa kutoonyesha uzalendo. Hana cha kuonewa wivu hapo Masha kwa ku dogde JKT.
Na hata huo uwaziri, kusema tunamwonea wivu waziri kijana, uwaziri sio achievement ya kujivunia saaaana kwa sababu ni cheo cha kupewa tu. Sio bootstrap achievement, sio jasho lako linalokupa uwaziri necessarily, sio umaridadi wako kikazi. Hata mimi nisiyejua kitu ningekuwa najuana na Kikwete toka kwenye mizunguko yake ya usiku vilabuni toka wakati Kikwete yuko Naibu Waziri labda na mimi leo hii ningeukwaa uwaziri.
Masha hana cha kuonewa wivu. At least mimi sikioni.